Kichekesho ni mimi ninaeongelea au wewe unaetumia biblia ambayo ni kitu ambacho hakitambuliki kwenye maandiko?Kama hujui unapata wapi nguvu ya kuongelea kitu usichojua maana yake huoni unakua kichekesho?
ππ
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe.Tahadhari:
Kama umeokoka, usinywe sumu kwa makusudi. Utakuwa unamjaribu Mungu na hapo unaweza kufa mara moja! Mungu atakulinda iwapo utakula au kunywa kitu chenye sumu bila wewe kujua.
Luka 4:12
Lakini Yesu akamjibu, βImeandikwa: βUsimjaribu Bwana Mungu wako.ββ
Unaenda kupumzika? Umeisha waleta watu wangapi kwa Yesu? Umeishaenda kwa mataifa yote kuhubiri Injili kama Yesu alivyoagiza? Kama bado, unaenda kupumzika nini ndugu? Fanya kazi ya Bwana. Usimruhusu shetani ayakatize maisha yako. Mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache.Mtu aliyeokoka wala hawazi issue ya kifo maana ni njia ya kwenda mapumzikoni.
Sasa unajidanganya utaishi milele hapa duniani? yaani unajizima data hujui kufa ni kupumzika mlokole wewe.... kweli unajitekenya mwenyewe halafu unacheka. Hakuna shetani wa kukatisha maisha ya mtu kama Mungu hajaamuaUnaenda kupumzika? Umeisha waleta watu wangapi kwa Yesu? Umeishaenda kwa mataifa yote kuhubiri Injili kama Yesu alivyoagiza? Kama bado, unaenda kupumzika nini ndugu? Fanya kazi ya Bwana. Usimruhusu shetani ayakatize maisha yako. Mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache.
Nini kinakufanya ukae na kuwaza kufa kwa sumu??? kwa nini huwazi kufa kwa kuangukiwa na nyumba unayolala? acha kuwaza kifo... utaokota makopo soonNdiyo. Kifo kipo tu lakini mimi nakataa kufa kwa sumu kabla ya wakati wangu.
Zaburi 90:10
Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, au miaka themanini ikiwa tuna nguvu.
Kama wewe unakubali mtu aukatishe uhai wako kabla ya umri huo, sawa. Kaa tayari kufa. Lakini mimi siko tayari sumu iniue kabla ya wakati huo, maana kazi aliyonipa Yesu bado sijaimaliza!
Sawa kabisaaaa. mwambieni mlokole wetu asiwaze kitu ambacho NI LAZIMA KITATOKEA hata iweje.Wafilipi : 1 : 21 - Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
Nani kasema ataishi milele duniani? Nimesema miaka yetu ni 70 au 80 tukiwa na nguvu, hivyo lazima tuizime kwa Jina la Yesu, mishale yote ya moto kutoka kwa shetani anayetafuta kuyakatiza maisha yetu. Maandiko yanatuambia tukeshe kwakuwa mshtaki wetu Ibilisi anazunguka kama simba akitafuta mtu wa kummeza.Sasa unajidanganya utaishi milele hapa duniani?
Watu wanapumzika baada ya kufanya kazi. Kazi aliyonipa Yesu ni kubwa sana, sidhani hata robo yake kama nimeitimiza, Wewe unataka nikapumzike nini. Wewe kama umeishatimiza agizo kuu la Yesu, sawa, nenda kapumzike.yaani unajizima data hujui kufa ni kupumzika mlokole wewe....
Hujasoma Luka 4:29?Hakuna shetani wa kukatisha maisha ya mtu kama Mungu hajaamua
Ukisoma uzi tafakari kwanza lengo la uzi kabla ya kukurupuka ku-comment. Lengo langu ni kuwatahadharisha watu kwamba wakifanikiwa kikazi, kibiashara nk watambue kuwa kuna watu wasiofurahia mafanikio yao. Watu hao ndio wanaoweza kuwawekea sumu ili wafe. Bila wokovu, ukiwekewa sumu utakufa tu. Lakini ukiwa na Yesu sumu haifanyi kazi kwa Jina la Yesu. Hivyo wakitaka kuwa salama watubu na kumwamini Yesu ili ishara hiyo ifuatane nao. Sio kwamba nawaza kufa.Nini kinakufanya ukae na kuwaza kufa kwa sumu???
Siku hizi ukitaka kuwa mlokole ni lazima ujitoe ufahamu kwanza kama Komandoo MashimoπNdugu yangu, kumbuka kila wakati, katika dunia hii sio wote wanaofurahia mafanikio yako ya kimaisha, ya kikazi au ya kibiashara. Kwa sababu hiyo yamkini kuna watu wanapanga mbinu za kukuangamiza. Na wengine wanaweza kukuchukia tu hata kama huna pesa au cheo, wakatafuta njia ya kukuondoa duniani.
Njia inayotumiwa na waovu kukatisha maisha ya watu kimya kimya ni kuweka sumu kwenye chakula au kinywaji. Unaponaje sasa katika hali hii? Utakuwa unatembea na daktari wa kupima maji na chakula chako kabla hujala? Na je, daktari akipitiwa akasema chakula hakina sumu kumbe sumu ipo, utaponaje?
Nakupa siri ya ushindi! Ukiokoka, ukawekewa sumu kwenye chakula β sumu hiyo haitakudhuru kabisa.
Marko 16:17-18
Na ishara hizi zitafuatana na wale wanaoamini: Kwa jina langu watatoa pepo na watasema kwa lugha mpya. Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. Watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona.
Hiyo ndiyo sababu kwanini siwezi kufa ukiniwekea sumu kwenye chakula.
Kuokoka ni jambo lenye faida sana. Ndio maana shetani anatumia mbinu nyingi kuwadanganya na kuwashawishi watu wasiokoke - eti kuokoka ni ujinga! Ujinga?! Shetani anajua, watu wakiokoka wataishi maisha yenye heri hapa duniani na mbinguni. Kataa uongo wa shetani, kwa Jina la Yesu.
Ukweli ndio huo, mimi nimeokoka. Hivyo ukiniwekea sumu kwenye chakula changu ili nife, utasubiri sana! π
Nikikubali kufungwa bomu ili wewe uone km kweli ntakuwa namjaribu Mungu. Mungu hapendi tumjaribu.Ufungwe bomu tuone km kweli mkuu..!!
Mkuu,
hivi unaifahamu POLONIUM 238?
Sikuhiz nikiwaonawatu wa hivi naishia kucheka tuWazee wakujehsabia haki
Itoshe tu kusema hujui unachokisemaKichekesho ni mimi ninaeongelea au wewe unaetumia biblia ambayo ni kitu ambacho hakitambuliki kwenye maandiko?
Kama kifo ni faida kwanini unamlaani anayekuwekea sumu ya kukuua na kwamba akikuwekea hauwezi kufa?Wafilipi : 1 : 21 - Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
Ila walokole huwa mnajifariji sana lakn kila siku tunawazikaNdugu yangu, kumbuka kila wakati, katika dunia hii sio wote wanaofurahia mafanikio yako ya kimaisha, ya kikazi au ya kibiashara. Kwa sababu hiyo yamkini kuna watu wanapanga mbinu za kukuangamiza. Na wengine wanaweza kukuchukia tu hata kama huna pesa au cheo, wakatafuta njia ya kukuondoa duniani.