Ukiweka sumu kwenye chakula changu, hata kama sumu hiyo inaua ndani ya dakika 1, sifi. Sababu hii hapa

Ukiweka sumu kwenye chakula changu, hata kama sumu hiyo inaua ndani ya dakika 1, sifi. Sababu hii hapa

Nimekukataza kujieleza sana
1.Leta andiko linaloonyesha yesu aliwahi kufanya ibada kwenye nyumba inayoitwa kanisa.

2. Leta andiko linalotambua kuna kitu kinachoitwa Biblia
Unanikataza kujieleza wewe kama nani acha hizo arif,
Halafu unajichoresha na kuonekana hamnazo humu jamvini maana unauliza kitu Ili upewe majibu ambayo tayari unayo yaani yanayo kufurahisha wewe badala ya fact unataka mipasho,
Watu wa aina Yako ni wale ambao Mmepofushwa na Dini kiasi kwamba hutaki kujifunza kitu usichojua ila unataka kubishana kindezi tu humu jamvini,
I don't waste my energy kwa mpumbavu!
Alamsiki!
 
Nimekuja mkuku hapa nikidhani kuna mechanism nitajifunza masikini... Baada ya kukuta mistari ilibidi nirudi juu kuangalia mleta uzi ni nani
 
Tulia akutane na arsenic " the king of poisons" aone kama hiyo Marko sijui Luka kama itapata nafasi
Kuna vitu yaani wewe uliovibeka kwa usalama lakini Huwa hujiamini mpaka hata wiki mbili zipite kwanza
Kama siku yake haijafika hawezi kufa. Example Lissu.
 
Back
Top Bottom