Ukiweka sumu kwenye chakula changu, hata kama sumu hiyo inaua ndani ya dakika 1, sifi. Sababu hii hapa

Siku hizi ukitaka kuwa mlokole ni lazima ujitoe ufahamu kwanza kama Komandoo MashimoπŸ˜€
Lazima ulete stori mpya coz walishaleta karibu zote waliotangulia, every business need innovation to be relevant bro
 
Ni kweli kabisa mtumishi
 
kulingana na makanisa kuongezeka pia hospital za magonjwa ya akili ziongezwe sana kukabiliana na hali
 
Nadhani Yesu alikuwa anamainisha kiroho siyo tunavyoviona kimwili.Kwa hiyo ndugu unayemwamini Yesu usije ukashika nyoka wala usije ukala sumu ukiamini utapona.Lakini Mungu aweza kukuokoa iwapo umeletewa kwa hila bila we we kujua kabla hujamaliza kazi yake(tax Daniel alivyotupa katika shimo la simba)
 
Punguza kujieleza leta andiko linalotambua kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia kama hamna andiko sema hamna andiko linalotambua biblia basi usiandike gazeti lisilo na maana
 
Kama kifo ni faida kwanini unamlaani anayekuwekea sumu ya kukuua na kwamba akikuwekea hauwezi kufa?
Mkuu, nilimsaidia tu reference huyo mkuu hapo juu.
Maana maswali uliyonayo ni mengi kuliko niliyonayo mimi😁.
 
Huku ukinywa sumu hufi ila ukitaka kulithibitisha hilo neno kwa kunywa sumu unaambiwa unamjaribu bwana kwahyo unakufa. Nieleweshe moja nielewe nikiokoka nikanywa sumu nakufa au sifi hivyo tu sio maelezo mengi sana

Je ww ukinywa sumu unakufa au hufi?
 
Punguza kujieleza leta andiko linalotambua kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia kama hamna andiko sema hamna andiko linalotambua biblia basi usiandike gazeti lisilo na maana
Quran imeandika na imethibitisha unabisha?
Si ndio unataka hivyo kamanda!
 
Punguza kujieleza leta andiko linalotambua kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia kama hamna andiko sema hamna andiko linalotambua biblia basi usiandike gazeti lisilo na maana
Inaonesha kama fyuzi Moja haiko Sawa kichwani mwako
Ulitaka kitabu gani kithibitishe Biblia na je hicho kitabu kitakacho thibitisha kilithibitishwa na nani kua ni kithibiti cha Vitabu?
Unaelewa unachokiandika kweli?
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo tumekubaliana hamna andiko linalotambua utopolo unaoitwa biblia?
 
Kuna sayansi na imani ,ukiwekewa sumu kisha bila mbinu za kisayansi kuiondoa utakufa tu.
 
Kwahiyo tumekubaliana hamna andiko linalotambua utopolo unaoitwa biblia?
Achana na mimi sibishani na normal brain people!
Kumbe na wewe ni kopo hivyo linapokuja swala la uelewa wa mambo
Nakusikitikia sana maana inaonesha unauliza kitu huko ukiwa na majibu Yako na hautaki kujifunza unataka kubishana hizo ni character za low brain people
Alamsiki Ngumbaru wa Mecca!
πŸ‘πŸ‘
 
Nimekukataza kujieleza sana
1.Leta andiko linaloonyesha yesu aliwahi kufanya ibada kwenye nyumba inayoitwa kanisa.

2. Leta andiko linalotambua kuna kitu kinachoitwa Biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…