Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Unanikataza kujieleza wewe kama nani acha hizo arif,Nimekukataza kujieleza sana
1.Leta andiko linaloonyesha yesu aliwahi kufanya ibada kwenye nyumba inayoitwa kanisa.
2. Leta andiko linalotambua kuna kitu kinachoitwa Biblia
Kama umebeba kusudi la Mungu kwenye utumishi husika huwezi kufa!lakini kama ni mjasiriamali na umewadhulum wenzio na unakula kisicho halali yako you're gone!!Mkuu,
hivi unaifahamu POLONIUM 238?
Kama siku yake haijafika hawezi kufa. Example Lissu.Tulia akutane na arsenic " the king of poisons" aone kama hiyo Marko sijui Luka kama itapata nafasi
Kuna vitu yaani wewe uliovibeka kwa usalama lakini Huwa hujiamini mpaka hata wiki mbili zipite kwanza
Polonium-210 ni hatari zaidiMkuu,
hivi unaifahamu POLONIUM 238?