Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

Uhalifu ndio uanaume?
 
Sasa mji kuwa na vibaka ndio hustling?

Basi kama ndo hivyo chang'ombe ya Dodoma ni super street Duniani, ukitoboa chang'ombe huwez shindwa mtaa wowote hapa Duniani
Ndio hapo ushangae sasa eti uhalifu nao ni hustling. Kuna sehemu hazina fursa kabisa, Sasa mtu akitoboa kwenye miji hiyo sijui tuitaje!?
 
Mhh..hii sasa mbona hata sio sifa. Hii ni hatari.
Siwez kwenda ishi mahala kama huko. Maisha ninya kuyafurahia. Sio sifa kuhangaika au kutaabika kisa mkate wa siku. Ondoka katufute mahali penye utulivu , utafute life na pia u enjoy baada ya kupata chochote kitu.

Utafute kwa shida..utumie kwa shida...sasa ni maisha gani hayo kama sio ujinga
 
Uhalifu sio uanaume. Acheni kusifia uhalifu. Huo sio mji wa hustling ni mji wa uhalifu. Nilitegemea labda ungesema gharama za maisha ziko juu kama Luanda ndo ningekubali ni mji wa kiumeni. Huo ni mji uliojaa ushenzi.
Ndio umenena vyema . Gharama za maisha zinapokuwa juu, uhaba wa fursa uliotamalaki na bado mtu akapambana mpaka akatoboa Kwa njia za halali kabisa huo ndio uanaume.
 
Yani hapo dodoma ndio wahuni


Hebu tembeeni muone watu wahuni!

Joberg kifo ni kitu cha kawaida muda WOWOTE unarudisha kama
Mzee wa Joberg hapo ni jana usiku, tuambie hiki ni kituo cha Daladala katika Mall gani?

Ila soon nakuwa Bahi Dodoma, kwa hiyo kuwa Bahi sio kwamba mtu hawez fila Joberg au hapajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…