Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

Ila wajozi wanaigwaya cape,, huku kuna walangilangi(hawana akili hata kidogo) anakuuwa mchana jua linawaka sio kwa sababu ya hela hapana, kisa mkubwa wake wa gang kampa order akuue yawezekana mlipishana ukampiga kikumbo tu basi,, sasa ingia nyanga, gugulethu, khayretsha huko kuna chafu za kikosa kuua mpaka rand mia kwa sasa maisha yalivyo magumu,, yani bora hata langa tena kidogo sana kwa lokshini za watu weusi kuliko huko nilikokutaja at least kuna sehemu kama una usafiri wako unaweza ukaishi,, kwa upande lokshini za walangilangi at list athlone baadhi ya maeneo,, kwa kifupi south nzima kuna uhalifu mpaka vijijini, nishatolewa kwaju umtata eastern cape..
 
Hakuna sehemu nimesifia uhalifu
Ni kama useme Tanzania ni maskini huwezi sema unasifia umaskin ni kweli ni maskini

Kuwa na gharama kubwa za maisha haimaanishi kuna hustling we umeshaona kuna mtu anaenda kutafuta maisha luanda

Sehemu yeyote ukiona group kubwa wanaenda kutafuta maisha ujue huko kuna hustling
Sababu za kutokwenda huko mojawapo ni lugha. Hustling haina maana ya kupambana na uhalifu. Elewa kwanza maana ya hustling
 
Hakuna sehemu nimesifia uhalifu
Ni kama useme Tanzania ni maskini huwezi sema unasifia umaskin ni kweli ni maskini

Kuwa na gharama kubwa za maisha haimaanishi kuna hustling we umeshaona kuna mtu anaenda kutafuta maisha luanda

Sehemu yeyote ukiona group kubwa wanaenda kutafuta maisha ujue huko kuna hustling
kwenda kwenye mji haimaanishi ndo mizur au kuna fursa kuliko kwingine bali ni upepo wa wakati huo umelalia wapi
 
Back
Top Bottom