Kuna Watu watasema nawachukia ninyi kinadada.😂
Wanafikiri ninaishi bila Mama, shangazi, Dada au mke🤣🤣
Mimi huwa naamini wanaume wengi akikataa kulea au kuhudumia ujue behind ze sini kuna kitu tu.Yaani sop itabidi, Jambo Hilo lipo automatically.
Hata iwekwe sheria ipi, Jambo Hilo lipo hivyohivyo.
Ni vizuri Tuwafundishe mabinti zetu maadili maana wao ndio wahanga wakubwa.
Hatuwezi kujidanganya kisa tumetunga visheria ndio tukadhani madhara yatokanayo na mmomonyoko wa maidili yatawakuta kijana na Binti Kwa kiwango sawa
Yaani mtu ukanisukumize kwa mume wa mtu mwenye mkataba wake halafu utake akupe nafasi ya mke na watoto kama mume wako!?
Ni sawa na kuiba Mali ya mtu halafu uende kuwaomba police wailinde ili mwenyewe asiichukue😅😅
Wanawake hawashauriki hawa viumbe wengi wao wamejaa tamaa hawako tayari kumvumilia mwanaume ambae bado anajitafuta wao wanapenda shortcut apate mwanaume mwenye mali bila kujua zimetoka wapiMimi nawashtua Kwa sababu nawapenda.
Ila wao wenyewe wataona ninachuki nao Kwa kuwaambia ukweli.
Sifurahii ongezeko la single mother kwani sio tuu linawatesa Dada zetu Bali pia linaumiza Watoto.
Watoto wanakua pasipo ulinzi na upendo wa Baba
Wanawake hawashauriki hawa viumbe wengi wao wamejaa tamaa hawako tayari kumvumilia mwanaume ambae bado anajitafuta wao wanapenda shortcut apate mwanaume mwenye mali bila kujua zimetoka wapi
Waache kugawa gawa bila mpango kwani alikwambia anahitaji mtoto? Kujidhalilisha tu kudai matunzo wapambane na hali zao°kama DNA test zinakuonyesha ni ww utawajibika
° Hakuna Sheria iliyosema mwanaume akizaa na nje ya Ndoa asitunze huyo Mtoto wa nje ya Ndoa, kama hiyo sheria ipo itaje na utaje kifungu hicho.
Ulichosema ni ukweli mtupu,,japobaadhi hawataelewa. Kwenye suala zima la kuzaa mwanamke ndio mwenye maamuzi.
Ukienda Ustawi wa Jamii kesi nyingi za matunzo ni za wanawake nyumba ndogo. Mapenzi yakiisha basi mwanaume haangaiki na kulea mtoto. Na wengi wanaingia kwa madai kuwa wanapendwa.Na wanawake wengi wanajua kuzaa ndio garantee yabkupata fedha au ndoa kwa mwanaume kiti ambacho wala hakina ukweli kwani mwanaume akikupenda hata kama huna kizazi ata stiki na wewe.
Wanawake wengi wanakuwa wahanga sababu ya kujipa upofu wa maneno mazuri wanayopewa wakati mapenzi yapo moto moto. Wanawake wenyewe ndo tunaweza kujikomboa katika hili. Tufanye maamuzi ya kuzaa kwa sababu tunahifaji lkn sio kwa sababi ya tamaa,, fedha au ndoa kutoka kwa mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizaa na mume wa mtu wewe ni mkwepa majukumu kama walivyo wakwepa majukumu wengine. Umekwepa jukumu la kuanzisha maisha ya malezi na kijana mwenzio kwa kukimbilia mtu ambaye ameshajiestablish na mtu mwingine tayari, maana yake unaenda kumega kipande cha cake cha familia nyingine wakati ungeweza kuanza ku bake ya kwako uile nzima. Huu ni ukwepaji wa majukumu.
Hata hivyo hawa wazinzi wawili wakishafanikiwa kupata tokeo la walichokifanya busara itumike ili mtoto alelewe tena kama uwezo upo alelewe vizuri, Baba ahakikishe anatengeneza extra income kwa ajili ya mtoto aliyeongezeka, kinyume na hapo mtamuathiri mtoto kisaikolojia sababu ya ujinga wenu.
Imagine mtoto alinayekua kwa kushuhudia mama yake anapelekana ustawi wa jamii na baba yake juu ya malezi yake, no wonders tuna vijana wa hovyo wa kike na kiume kwa sasa, matokeo ya malezi waliyopokea.
Haya mambo acha tu,
Mzazi mkanye mwanao asiingie Katu kwenye mahusiano na mme wa mtu.
Ikishatokea mnajikuta mnachukiana tu, mwanaume ukijitahidi kutaka kumjali mtoto pesa zinapotea,hazionekani.
Unabaki kulaumiwa bure na kujilaumu kutelekeza mtoto!!
Nahisi asili inakuwa inawaadhibu bila kufahamu.
Taikon yupo sahihi, ila Kuna watu Wana uwezo mdogo wa kufikiria, hasahasa uhalisia wa kitabia
... ilikuwaje fetty; mwaga ubuyu hapa iwe fundisho kwa wengine.Ila wanaume
Kidogo linikutage jambo kama sio huyu Mungu kuniepusha sijui ningekuwa katika hali gani mimi.
... na hao mashoga mnawakaribisha kupiga umbea nyumbani ni hatari sana kwa ndoa zenu! Unakuta lishankupe na dera lake ndani liko tupu unalileta nyumbani Jpili kupiga stori; hatari sana.Kweli kabisa Robert Heriel