Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Tatizo kubwa hili[emoji26]Imagine watoto wanahangaika mitaani usiku wanalawitiwa wanalala kwenye maboksi kila aina ya ukatiri wanatendewa, Baba yupo busy kuzalisha wengine huyu dogo sijui akili zake zina shida gani
Wewe hufai kuwa mwanaume chagua jinsia tofauti,uanaume ni majukumu
Unajua hata Hajiri alipopata kiu jangwani Mungu alimpa chemchemi na hadi leo tunakunywa maji ya zamzam tukienda HijjaNgoja Watu wajichanganye,
Mtu ati mpaka mtoto ahudumiwe mpaka Vikae vikao, wapelekane kwenye mabaraza mpaka Mahakamani.
Huoni tayari njia hiyo sio sahihi.
Wanawake waelewe kuwa asilimia 90% ya wanaume hawawafikirii Watoto wa nje, na ndio maana hawawahudumii.
Js imagineTamaa huzaa Dhambi. Dhambi huzaa mauti. Nazidi kuumia juu ya watoto ambao ni outcome ya mistake ya mzazi/wazazi. Nawaza baadae itakuwaje. Sitegemei mtoto wa aina hii kuwa na upendo.
Kuna mdogo wangu alikataliwa na baba mzazi, na mama yake (shangazi) akaolewa kwngne so ikabidi mzee wangu amchukue amlee, maana yule baba mwngne hakuwa anamtaka huyu mtoto. Huyu mdogo wangu hanaga upendo na mambo ya kujali familia kabisa. Wengi wanajuaga nimefatana nae kwenye kuzaliwa na ni wachache sana wanafahamu kuwa sijazaliwa nae tumbo moja.
Kuna muda nilionaga mama anampendelea yeye sana kuliko mimi. Na pia mdogo wangu anaenifata kaivana sana na huyu kuliko mimi dada ake wa damu. Lakin huyu ndugu yuko so cold hearted. Anapenda marafiki, mashosti basi. Ni mtu ambae anajijaligi yeye kama yeye. Hata wazaz wangu si kwamba anawajali kihivyo. Ni mtu flani very cold. Upendo wake kwa wanafamilia ni mdogo sana.
Najaribu kusema ivi.. baadae..in the future, ile prophecy ya upendo utapoa itaonekana dhahiri. Mtu kalelewa na mama yake tu huku akiona either mama anavyostruggle kumlea kwa tabu, ama kulishwa sumu na mamaye kuwa baba ako hakujali anajali ndugu zako wengne akat wewe ni mtoto wake. Huyu atalishwa sumu kuanzia mwaka 1 mpk miaka lets say 8. Usitegemee huyu mtoto kuja kuwa na upendo ama kuwapenda ndugu zake despite kilichopita baina yake na baba yake.
Sijui watoto wa baadae watakuwaje. Tunaenda kupata a very weak nation. Mtoto anahitaji baba physically katika malezi. Hasa wa kiume. Kuna mambo ama mising ya kiume inahitajika kupasishwa from baba to son. Leo son yuko kwa mama ake huko hata kama ni wa nje..tutatokea wapi? Sad stuff am seeing coming. Disaster actually.
Uzuri Mungu ana mzani wakeKalenda ya uzazi Mungu kaiweka kwa mwanamke. Hivyo anapaswa kujijua na kuchukua tahadhari kuepuka mimba zisizo tarajiwa.
Utamlaani Mwanaume kukutelekeza lakini itakuwa kama dua la kuku lisilompata mwewe.
Sijui kwanini mnakimbia kuwajibikaBwana Robert Heriel wanaokupinga hawajaelewa Ulichokiandika. Niwasaidie tuu kuwajulisha kuwa Mleta Uzi Hana Nia ya kuwataka wanaume wasilee watoto wa nje la hasha! Bali wanawake wasizae na waume za watu au wanaume ambao hawajawaoa Kwa kutegemea matunzo sawa na watoto wa Ndoa.
Mimi naungana na Robert kuwaasa kinadada kutokufanya mapenzi na wanaume wasio waume zao. Wafahamu ni heri atelekezwe na Manaume aliyemuoa kuliko atelekezwe na mume wa mtu au mwanaume ambaye hajajitambulisha Kwao.
Wanaume tuepuke wanawake wanaotuomba mbegu Kwa ahadi ya kuwa hawatasumbua wake zetu.
Midomo ya Malaya Hudondoza Asali.
Kwanini kuanzisha mahusiano yasiyo na malengo afu watoto mnatelekeza?Sio kila mahusiano yanalenga kuzaa wanawake wanapaswa kujua hili.
Hata kwenye ndoa tu wanaume wanazaa kwa hesabu sembuse nje huko unazani atakuelewa?!
Kwanini kuanzisha mahusiano yasiyo na malengo afu watoto mnatelekeza?
Usifanye tendo na mtu usiyetaka kuzaa nae.
Robert Heriel naomba unitafutie pleasee kibiashara zaidi
Unajua hata Hajiri alipopata kiu jangwani Mungu alimpa chemchemi na hadi leo tunakunywa maji ya zamzam tukienda Hijja
Tumuogope sana Mungu
Sanaaa
Mungu ni wa kila mmoja
Uko ndani ya ndoa kaa na mkeo tu all your life usizini nje
PowaSawa. Kesho jioni au jumapili nitakucheki