Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Hayo ni maandiko tu....

Mandiko mengi ya dini ni illogical.

Wewe inakuingia akilini..? kwamba....ukizini... Mungu ana punguza 5 years kwenye umri uliotakiwa kuishi.

Kuna watu now wana umri wa miaka 60 na walisha zini mara 50 hadi kufikia umri huo.

50*5 years = 250 years + 60 years

Hapo ina maana wasinge zini, wangeishi kwa miaka 310.

Au hayo maandiko yana maanisha kitu tofauti..?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

View attachment 2727635

Aiseee kama ni ivo basi kuna ndugu yangu atakuwa amebakiza nothing mpaka sasa
 
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

View attachment 2727635
So unataka tuzini na mwanaume?
 
Kuzini ndiyo nini. Binadamu ni mnyama kama wanyama wengine walivyo kuja duniani Kwa ajili ya kuzaa tu. Je nini kifanyike mtu azaliwe., Jibu unalo. Mengine ni upofu wa kiimani tu kama vile ndoa. Kwani binadamu Yuko duniani Kwa ajili ya ndoa. Ndoa ni tungo za kiimani Ili kuwafanya watu wasizae au wasiongezeke ili kuendelea kutawaliwa. Uislamu na ukristo ni dini za kitumwa. Jitambue
 
Hayo ni maandiko tu....

Mandiko mengi ya dini ni illogical.

Wewe inakuingia akilini..? kwamba....ukizini... Mungu ana punguza 5 years kwenye umri uliotakiwa kuishi.

Kuna watu now wana umri wa miaka 60 na walisha zini mara 50 hadi kufikia umri huo.

50*5 years = 250 years + 60 years

Hapo ina maana wasinge zini, wangeishi kwa miaka 310.

Au hayo maandiko yana maanisha kitu tofauti..?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wewee, JifunzE Kwa waliokutangulia
Kwanini wewe Leo hauishi Miaka 400 wakati Adam na mkewe wamejaa mpaka Miaka 400
Nuhu Miaka 400
 
Kuzini ndiyo nini. Binadamu ni mnyama kama wanyama wengine walivyo kuja duniani Kwa ajili ya kuzaa tu. Je nini kifanyike mtu azaliwe., Jibu unalo. Mengine ni upofu wa kiimani tu kama vile ndoa. Kwani binadamu Yuko duniani Kwa ajili ya ndoa. Ndoa ni tungo za kiimani Ili kuwafanya watu wasizae au wasiongezeke ili kuendelea kutawaliwa. Uislamu na ukristo ni dini za kitumwa. Jitambue
Kasome mithali yote
Ukitoka ingia 1 Corinthians utajua
 
Back
Top Bottom