Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #221
Both, walimcha na MunguKwahiyo walikaa miaka yote hiyo kwa sababu hawakuzini..?
Au kuna sababu zingine..?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Both, walimcha na MunguKwahiyo walikaa miaka yote hiyo kwa sababu hawakuzini..?
Au kuna sababu zingine..?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Apo sawaAnatembelea maombi ya ndugu zake maana wameokoka badala yake
Amina mtumishiHapa ni kuzini generally, not necessarily na mke wa mtu.
All in all, uzinzi kwa ujumla wake ni dhambi mbaya sana, hii ni dhambi ya mauti.
1 Wakorintho 6:15-16
[15]Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!
[16]Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Mungu atusaidie sana kwakweli.
Amina, Mbinguni watakupa maua yakoNdoa zina mambo mengi sana...Cha msingi ni kuomba Mungu tu ili atupe hofu yake.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote ,kama aziniye na mwanamke hana akili ,vipi(M/ke) aziniye na mwanamme?
Mwanahabari Zembwela alishwahi kusema Wanawake wapo wa aina 3:-
1. Mke Mkeo
2.Mke Jina
3.Mke Wetu
Mwanamme akipata aina ya kwanza(Mke Mkeo) ndoa inakuwa na amani otherwise ni Majanga.
Aisee, haya basi kaa na uzinzi wako utaisoma nambaTofauti ya umri kati ya mume na mke unaijua?
Mume kaoa mke aiyemzidi 10yrs, mathematically nani ataanza kufa?
Wewe mumeo kakuzidi miaka mingapi ili upate hitimisho?
Hoja yako ya mgane na mjane haina mashiko.
Mnapita mengi yapi kwenye ndoaWajane sawa ni wengi na wagane wachache ila hata hii inaweza changia
1. Wanaume tunapitia mengi tuwapo kwenye ndoa mfano kuuawa pengne hata bila hatai unategwa sumu na mkeo habari inaishia hapo
2. Kazi tunazozifanya ni hatari kwa maisha yetu mfano wanaoendesha vyombo vya moto au ushawah kuskia boda amegongana na gari na huyo boda awe wa kike? wengi huwa ni wakiume na nyumban wanakuwa wameacha familia matokeo ni mjane mwingne kaongezeka
3. Hapa ni kwa wale wanaume wenye mwanamke zaidi ya mmoja mfanyo unakuta ana wake 3 ko mmoja akifa bado atabaki na wawili sio rahis kumuita mgane au anaweza kuwa na mke mmoja akifa lazima ataoa sio kama wanawake wanaweza kuolewa au asiolewe ila mwanaume sio rahis kukaa bila mke boss wangu HOPE NIMEELEWEKA kwa machache hayo
NAWASILISHA 😀😀[emoji4]
Hukusoma, Mungu Alimwambia ufalme wako ulikuwa NI WA milele sababu ya uzinzi wewe ufalme naukatisha nampa mwingine na nyumba yangu haujengi weweWe umesema 5 years zinapungua. Ndio maana nakwambia mbona solomoni hakufa mapema. Ishu ya kuondolewa ufalme. Ni nyingine but about 5 years hapo umemlisha Mungu maneno maana Hakuna kifungu hiko.
HahahaAsee kwenye hili kuna watu wana Negative
Katubu umrudie Mungu urudishiwe UMRI zije nyakati za kuburudishwaKama nikweli mpaka saizi ninahasi ya umri
Kasome BibliaAna punguza kivipi??kwani tulikubaliana kabla??nitahitaji ushahidi wa hili kutoka Kwa Baba Muumba Wa Mbingu na nchi!!Tuonyeshane ushahidi wa hayo makubaliano.###KivumbiSikuHiyoHukoMbinguni###Kuliko cha kina Mdude na mwambukusi hapa ulimwenguni Tz!!
Wanawake wanapitia mateso sawa sijakataa mfano hilo mojawapo la leba but baada ya muda yanaisha me nimesemea wanaume tunapitia yale ya kukutoa uhai kabisa hiv unaweza kulinganisha matokeo ya kwenda leba na matokeo ya kutegwa sumu ety boss 😀 [emoji4]Mnapita mengi yapi kwenye ndoa
Ivi nyie mkipewa uwezo WA kwenda leba mtaweza??
Maana sahivi wanawake wanatengeneza hela kuliko nyie, sasa mengi yapi??
Tutaisoma tukifika huko huko mbinguni Kwa Baba naamini itakuwepo na imeandikwa sijui Kwa Kiswahili,,,kirumi au kiingereza!!Kasome Biblia
Methali yote
Korintho WA Kwanza yote
Hebrew yote
Ufunuo yote
Mwanzo yote
Kutoka yote
Ukimaliza utaniambia
Tutaisoma tukifika huko huko mbinguni Kwa Baba naamini itakuwepo na imeandikwa sijui Kwa Kiswahili,,,kirumi au kiingereza!!
Wanawake wanapitia mateso sawa sijakataa mfano hilo mojawapo la leba but baada ya muda yanaisha me nimesemea wanaume tunapitia yale ya kukutoa uhai kabisa hiv unaweza kulinganisha matokeo ya kwenda leba na matokeo ya kutegwa sumu ety boss 😀 [emoji4]
Kwa mwongozo WA MunguAcheni hizo! Ina maana wanandoa wanaokufa mapema ni wachepukaji? Ila ujue Biblia imeandikwa na binadamu.
Sina hata wasiwasi, niambie kama hujawahi kuzini mkuu!!Aisee, haya basi kaa na uzinzi wako utaisoma namba
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi
Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.
Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.
Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
View attachment 2727635
Na ufalme haukuisha sababu ya uzinzi. DAUDI mwenyewe alikuwa mzinzi mpk akaua na ufalme haukuisha. Ufalme uliisha sababu ya kuabudu Miungu mingine.Hukusoma, Mungu Alimwambia ufalme wako ulikuwa NI WA milele sababu ya uzinzi wewe ufalme naukatisha nampa mwingine na nyumba yangu haujengi wewe
Sasa sijui we nikipofu au?
Kasome Biblia bwana Acha uzinzi