Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Hapa ni kuzini generally, not necessarily na mke wa mtu.

All in all, uzinzi kwa ujumla wake ni dhambi mbaya sana, hii ni dhambi ya mauti.

1 Wakorintho 6:15-16
[15]Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!

[16]Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.

Mungu atusaidie sana kwakweli.
Amina mtumishi
 
Ndoa zina mambo mengi sana...Cha msingi ni kuomba Mungu tu ili atupe hofu yake.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote ,kama aziniye na mwanamke hana akili ,vipi(M/ke) aziniye na mwanamme?

Mwanahabari Zembwela alishwahi kusema Wanawake wapo wa aina 3:-

1. Mke Mkeo
2.Mke Jina
3.Mke Wetu

Mwanamme akipata aina ya kwanza(Mke Mkeo) ndoa inakuwa na amani otherwise ni Majanga.
Amina, Mbinguni watakupa maua yako
 
Tofauti ya umri kati ya mume na mke unaijua?
Mume kaoa mke aiyemzidi 10yrs, mathematically nani ataanza kufa?

Wewe mumeo kakuzidi miaka mingapi ili upate hitimisho?
Hoja yako ya mgane na mjane haina mashiko.
Aisee, haya basi kaa na uzinzi wako utaisoma namba
 
Wajane sawa ni wengi na wagane wachache ila hata hii inaweza changia

1. Wanaume tunapitia mengi tuwapo kwenye ndoa mfano kuuawa pengne hata bila hatai unategwa sumu na mkeo habari inaishia hapo

2. Kazi tunazozifanya ni hatari kwa maisha yetu mfano wanaoendesha vyombo vya moto au ushawah kuskia boda amegongana na gari na huyo boda awe wa kike? wengi huwa ni wakiume na nyumban wanakuwa wameacha familia matokeo ni mjane mwingne kaongezeka

3. Hapa ni kwa wale wanaume wenye mwanamke zaidi ya mmoja mfanyo unakuta ana wake 3 ko mmoja akifa bado atabaki na wawili sio rahis kumuita mgane au anaweza kuwa na mke mmoja akifa lazima ataoa sio kama wanawake wanaweza kuolewa au asiolewe ila mwanaume sio rahis kukaa bila mke boss wangu HOPE NIMEELEWEKA kwa machache hayo

NAWASILISHA 😀😀[emoji4]
Mnapita mengi yapi kwenye ndoa
Ivi nyie mkipewa uwezo WA kwenda leba mtaweza??
Maana sahivi wanawake wanatengeneza hela kuliko nyie, sasa mengi yapi??
 
We umesema 5 years zinapungua. Ndio maana nakwambia mbona solomoni hakufa mapema. Ishu ya kuondolewa ufalme. Ni nyingine but about 5 years hapo umemlisha Mungu maneno maana Hakuna kifungu hiko.
Hukusoma, Mungu Alimwambia ufalme wako ulikuwa NI WA milele sababu ya uzinzi wewe ufalme naukatisha nampa mwingine na nyumba yangu haujengi wewe
Sasa sijui we nikipofu au?
Kasome Biblia bwana Acha uzinzi
 
Ana punguza kivipi??kwani tulikubaliana kabla??nitahitaji ushahidi wa hili kutoka Kwa Baba Muumba Wa Mbingu na nchi!!Tuonyeshane ushahidi wa hayo makubaliano.###KivumbiSikuHiyoHukoMbinguni###Kuliko cha kina Mdude na mwambukusi hapa ulimwenguni Tz!!
Kasome Biblia
Methali yote
Korintho WA Kwanza yote
Hebrew yote
Ufunuo yote
Mwanzo yote
Kutoka yote
Ukimaliza utaniambia
 
Mnapita mengi yapi kwenye ndoa
Ivi nyie mkipewa uwezo WA kwenda leba mtaweza??
Maana sahivi wanawake wanatengeneza hela kuliko nyie, sasa mengi yapi??
Wanawake wanapitia mateso sawa sijakataa mfano hilo mojawapo la leba but baada ya muda yanaisha me nimesemea wanaume tunapitia yale ya kukutoa uhai kabisa hiv unaweza kulinganisha matokeo ya kwenda leba na matokeo ya kutegwa sumu ety boss 😀 [emoji4]
 
Tutaisoma tukifika huko huko mbinguni Kwa Baba naamini itakuwepo na imeandikwa sijui Kwa Kiswahili,,,kirumi au kiingereza!!
 
Wanawake wanapitia mateso sawa sijakataa mfano hilo mojawapo la leba but baada ya muda yanaisha me nimesemea wanaume tunapitia yale ya kukutoa uhai kabisa hiv unaweza kulinganisha matokeo ya kwenda leba na matokeo ya kutegwa sumu ety boss 😀 [emoji4]
 
Acheni hizo! Ina maana wanandoa wanaokufa mapema ni wachepukaji? Ila ujue Biblia imeandikwa na binadamu.
Kwa mwongozo WA Mungu
 
Uongo

Me nimeshazini na zaidi ya 27 ,, hesabu yako nimekata miaka 135
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

View attachment 2727635
 
Hivi unajua kuishi na mwanamke ambaye hamjafunga ndoa kanisani kwa wakristo ni uzinzi, kuna watu wameishia kwenye uchumba miaka 10+ (uchumba sugu), tuchukulie mfano kwa wiki wanazini mara 4, la mwezi wanazini mara 16, kwa mwaka wanazini mara 192, kama wameishia kwenye uchumba sugu miaka 10 mfano itakua wamezini mara 1920..

Ukizini mara moja unapungua miaka 5, kwa case ya hao wachumba watakua wamepungua miaka 9600...

In any case alichoandika muanzisha Uzi sio kweli....non sense!
 
Hukusoma, Mungu Alimwambia ufalme wako ulikuwa NI WA milele sababu ya uzinzi wewe ufalme naukatisha nampa mwingine na nyumba yangu haujengi wewe
Sasa sijui we nikipofu au?
Kasome Biblia bwana Acha uzinzi
Na ufalme haukuisha sababu ya uzinzi. DAUDI mwenyewe alikuwa mzinzi mpk akaua na ufalme haukuisha. Ufalme uliisha sababu ya kuabudu Miungu mingine.
 
Back
Top Bottom