In the beginning Mungu alimuumba Adam akampatia mwanamke mmoja tu ambaye ni Hawa...vilevile maandiko yanasema mtu atamuacha babaye na mamaye ataambaatana na mkewe na hao wawili watakua mwili mmoja...hapo tunaona Mpango wa Mungu ni mume kuwa na mke mmoja tu na si vinginevyo....Suleiman alikengeuka Kuna kabila Mungu alimkataza asioe lakini yeye akaoa wale wanawake wakamgeuza moyo akaanza kuabudu miungu Kua na wanawake wengi ulikua ni ubatili wa Suleiman haukua Mpango wa Mungu na Mungu alimstahi Suleiman sababu aliweka agano na Daudi baba yake kua ataubariki uzao wake na hatauangamiza sababu Daudi alikua anamcha sana Bwana katika watu wote Daudi ndo alikua anamcha sana Bwana ...