Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Na wanaozini na waume za watu wanapunguziwa miaka mingapi au nikwa wake za watu tu?
 
Hapana haya ni yako,
Uzinzi ni dhambi lakin maswala ya miaka 5 off hapana,
Ni uongo mzuri Sana,
Watu wasitishwe kwamba miaka itapungua ndo waache kuzini, waache kuzini kwa kumpenda kristo and nothing else
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Nilishangaa Nilipopata Ufahamu huu ya Kwamba Utukufu wa Mwanaume upo kwenye sperms zake .. Kadiri unavyozitoa ovyo Kwa wanawake ovyo ndiyo uzao wako UNAKUWA wa kawaida sana na huathiri Mafanikio yako . " Uzuri wa Mwanamke ni kama umeme "
Amina mtumishi
 
Labda kama unazungumzia the afterlife, kwa dunia hii nadhani tungekuwa tumefutika.
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari
 
Nikizini na wewe unaongezewa miaka 10...
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Back
Top Bottom