Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Dingi yangu mmoja prof. katomba sana mademu wa chuo na watoto wa sekondari toka 1998 hadi anastaafu ila sasa ana miaka 73 na yupo freshi tu.

Mwengine ni wakili, kala sana pisi ila ana 65 sahizi.

Mshua boi mwenyewe ana 71 sahizi na yuko strong.

Anti yangu mmoja alivuta na 62.

Mwingine yuko mid 50s and going strong.

Baba yao alikufa akiwa 80 yrs.

Historia inakwenda hivyo yani kama kwenu huwa hamfiki 60 ni nadra sana kwa kizazi chenu kufikia hio age. Hio factor sijui ya kugonga sana sio ishu
 
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele
Kama ni hivo basi wengine tunaishi kwa mkopo tukifa tunadaiwa.
 
Wanajihujumu
Hiyo zaburi ndio inasema hivi ? ⏬

Unavuta bangi ?
🤣🤣🤣Tukaguane Sasa
Mmoja alisema nanukuu"kwa binadamu ni kawaida kuchunguzwa hapa na pale"
Mwingine Akasema#yuko anachapa kazi,au mlitaka kumwona kariakoo anazurura?🤣
Kumbe Yuko kwenye friji mzena🤣aloo
Waliandika hivyo ili kuwafanya binadamu wawe wastaarabu, lakini hakuna ukweli wowote
,[emoji23][emoji23][emoji23]
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Ungekuwa hvy bas sueleman angekufa siku ya pili toka anamalizia kuwa t... Wale mabint au mnasemaje wanangu,... Na huyo mungu bas hana msimamo mana ana wivu wa kipuuz au mnasemaje wanangu? Mtoa mada tuonyeshe andiko au mnasemaje wanangu,? Na hilo andiko hatulikubali maana wameandika watu kama sisi au mnasemaje wanangu?
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Back
Top Bottom