Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Na mwandishi amesahau Mungu ni mwenye Rehema.
Na kwa Mungu siku moja ni sawa na miaka 1000. Sasa chukulia kwa sera hiyo 10000/5 una matukio 200 ya uzinifu.
 
Sina hata wasiwasi, niambie kama hujawahi kuzini mkuu!!
 
Na mwandishi amesahau Mungu ni mwenye Rehema.
Na kwa Mungu siku moja ni sawa na miaka 1000. Sasa chukulia kwa sera hiyo 10000/5 una matukio 200 ya uzinifu.
Ngoja ukufe kabla ya Miaka 1000.ndio utajua kuzimu kuna Moto au gesi

Na sisi tusio na ndoa kazi yetu kuzini tu?
 
Na ufalme haukuisha sababu ya uzinzi. DAUDI mwenyewe alikuwa mzinzi mpk akaua na ufalme haukuisha. Ufalme uliisha sababu ya kuabudu Miungu mingine.
Daudi alitubu Kwa machozi na hakuendelea tena kuua wala kuzini
Je wewe?!
 
Uongo

Me nimeshazini na zaidi ya 27 ,, hesabu yako nimekata miaka 135
Dalali anakuita huku maana unaongea wazimu
 
Kama NI nonsense why are you here na ume comment😂😂😂
Your weird you know
Uje Tu huku Dalali anakuita
 
Badala ya kujibu swali unaniletea link za posts zako bwana...
 
Ukimaliza hapo wakumbushe Mambo ya walawi
Wamegoma kukumbushwa
 
Badala ya kujibu swali unaniletea link za posts zako bwana...
BkoZ Ur insensible vitu viko obvious wewe unaleta masihara, kaa na masihara yako ukifa wafa kivyako
 
Au nimeshakufa hamuniambii?!😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…