LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Na mwandishi amesahau Mungu ni mwenye Rehema.Hivi unajua kuishi na mwanamke ambaye hamjafunga ndoa kanisani kwa wakristo ni uzinzi, kuna watu wameishia kwenye uchumba miaka 10+ (uchumba sugu), tuchukulie mfano kwa wiki wanazini mara 4, la mwezi wanazini mara 16, kwa mwaka wanazini mara 192, kama wameishia kwenye uchumba sugu miaka 10 mfano itakua wamezini mara 1920..
Ukizini mara moja unapungua miaka 5, kwa case ya hao wachumba watakua wamepungua miaka 9600...
In any case alichoandika muanzisha Uzi sio kweli....non sense!
Na kwa Mungu siku moja ni sawa na miaka 1000. Sasa chukulia kwa sera hiyo 10000/5 una matukio 200 ya uzinifu.