Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Swali?Saudi hakujenga hekalu la Mungu ujue
Alikuja kujenga mwanaeeeee mtakatifu
Miaka yake ikafupishwa, kasome kitabu cha wafalme Mungu alivyomlaani hakujenga hekalu na miaka yake ikafupishwa
Famasiala na Mungu nini?
Mambo yangu yanaenda vizuri namshukuru MunguNdio maana mambo yako hayaendi
Ushafariki
AiseeMambo yangu yanaenda vizuri namshukuru Mungu
Haikuwa mpango wa Mungu hekalu ijengwe na suleimanSwali?
Wakati Daudi anazini na mke wa Uria Mhiti alikuwa na miaka mingapi? Na baada ya hilo tukio aliishi miaka mingapi?
Na kuhusu ujenzi wa hekalu ulikuwa mpango wa Mungu hekalu lijengwe na Suleimani na sio Daudi. So sio laana Daudi kutojenga hekalu, coz hakuna mfalme alipendwa km Daudi
Na mimi kwani napunguziwa?si umesema wanaume??
Wanawake wote tunataka wanaume wa pekee yetu.
We ulivyosomq suleiman alikufa na umri ganKwa andiko lipi?
Je Mfalme suleiman alikuwa na umri gani ?
Bro nani amekuloga?Mnaua wanaume zenu kwa uchawi na ushirikina na kupawa stress jakamoyo Halafu mtake kusema nini hapa.
Umekuwa muhundi?Mimi mtoto wangu wa kiume sitakubali aje kupewa stress na mkewe , thubutuuu!
Ni afadhali waachane maisha yaendelee hadi apate mke mwenye nia njema ya upendo na utii na sio mke maslahi.
Ndivyo Mungu alipanga atiWanawake wote tunataka wanaume wa pekee yetu.
Maisha hayaendi vile unatakaYani niwatengenezee wanangu maisha mazuri Halafu mke aje kufanya hila ili arithi mali?
Thubutuuu!
Yani nitawakuza wanangu na kuwawekea mitazamo niitakayo Kwamba mke anapaswa kukutiii na sio ujeuri na visirani na awe na uwezo wa kuzalisha mali na sio aje na K yake aje ku-enjoy life bure wakati wengine tulikubali ku-sacrifice for our better future Halafu yeye aje na K yake tu hapana.
Sharing is caring.
Hili kabila la kiduanziKitu ambacho ni cha kusadikika.
Wanawake kuna ukweli hawaambiwi kabla ya kuolewa.
Enzi za unyago ilikuwa wanaandaliwa kisaikolojia kabisa, mume akishaamua kubali tu uke wenza wala haina neno iwapo bwana anakupa heshima yako na kutimiza majukumu yake ya familia.
Siku hizi ni ubinafsi tu.
Huyo mwanamke ambae hataki mume awe na mwanamke mwingine tendo lenyewe ndani anafanya kumpimia mumewe., mwanamke mkali , kisirani kununa kila wakati,
Sasa Mwanaume wa watu anachoka.
Akienda mahala pa kuchekewa na kusilizwa asiweke utuo hapo?!
Maisha hayaendi vile unataka
Mapenzi ya watoto wako kwa wanawake zao ndio nguvu zako zitaisho hapo
Watauza vyote ulivyotengenezea ukiwa unaona na hauna nguvu
Daah, haya maandishi muwe mnaandika taratibu WakuuHapa kuna code kidogo za kufungua maana maandiko yantaka utumie akili sana....Kwamba miaka 5 inapungua sio utani kama mnavyofikiria.
Uzinzi unakufanya uwe katika madhara makubwa sana haswa ya kukatiaha kimaisha hususani matokeo yake ,unaweza kufumaniwa leo ukawauliwa au ukapata magonjwa halafu ukafa ..