Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Kuna Wake ni Vichomi mpaka ukitoka nje ndio unakuwa unaongeza miaka mitano
 
Mwanamke kila
Mwezi anaingia period , Mwanaume maisha yake yote yuko free 24/7, Januari hadi December kila Mwaka yuko tayari kwa matumizi,
Halafu mnataka muwe sawa kima hutaki ya mwili ?
We una matatizo kichwani
Unaishi kwenye ulimwengu wa kufikirika
Haujawahi kupenda subiri ukipenda utakuja kutuambia
Hizo siku 5 za period utaona ni siku 1
Hio miezi 3 ya uzazi utaona ni siku 3
 
Daah, haya maandishi muwe mnaandika taratibu Wakuu
 


Kabila gani?
Sijakuelewa.
Tatizo lenu ni mapokeo tu ha ujinga wa kisaikolojia.
Mimi huwa nawauliza wanawake una panic umekuwa sms za mchepuko kwenye simu ya mumeo, Kwani what are you loosing kwa mumeo kuchepuka ?
Halafu mwingine Mwanaume wake hata Hela hana Halafu ana mind kuchepuka.
Maana angekuwa na Hela ungesema anamalizia kwa michepuko lakini hana Hela Ina maana hao wanapendana kwa dhati ya moyo, mchepuko hampendei Hela .
Napo mke Eti ana mind .
Ni mapokeo na ujinga.
Muhimu wewe ombe iwe salama yasiwepo magonjwa
 
Acha kubweka unatupigia makelele
 
We una matatizo kichwani
Unaishi kwenye ulimwengu wa kufikirika
Haujawahi kupenda subiri ukipenda utakuja kutuambia
Hizo siku 5 za period utaona ni siku 1
Hio miezi 3 ya uzazi utaona ni siku 3


Wewe ndio hujawa matured na kuujia uhalisia wa ulimwengu.
Soma vitabu,
Jifunze kwa mentors wa mahusiano hautakuwa ulivyo sasa.
Allow your mind to be open ready to learn new things.
Usijione kuwa tayari unajua kila kitu.
 
Sawa jini

Mmnh wewe kumbe una matatizo.
Ukiishiwa hoja unabaki na hayo πŸ˜€πŸ˜…
Jini linaweza kuandika ukajibizana nalo ?
Ndivyo ulivyofundishwa?
Wapi huko walikokufundisha hivyo?
You look very small minded person.
You are now making personal attacks instead of discussing the issue !
I can’t argue with a fool.
I ignore you πŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Kama ni kweli, basi mimi nilishakufa miaka mingi iliyopita.
 
Du bado ninaishi hadi Leo!!!!!Basi mi nitakuwa nimepangiwa kuishi miaka mabilioni!!
Una mingap weye?
 
Wewe ndio hujawa matured na kuujia uhalisia wa ulimwengu.
Soma vitabu,
Jifunze kwa mentors wa mahusiano hautakuwa ulivyo sasa.
Allow your mind to be open ready to learn new things.
Usijione kuwa tayari unajua kila kitu.
 
Hushangai hamna mtu anaesupport comment yako?
Unaandika mauzq uza qmbayo kwenye real life hamna
 
Kama ni kweli, basi mimi nilishakufa miaka mingi iliyopita.
Jini linalo tembea
 
Kuishi mileleπŸ€”
 
Hovyooo πŸ˜†πŸ˜†
Jini unaweza kujibizanaza nalo?!
Nyie Dunia ndio huwa inawafunza.
Halafu mnaenda kusumbua manabii na waganga mrudiane na wenza wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…