Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kuna Wake ni Vichomi mpaka ukitoka nje ndio unakuwa unaongeza miaka mitanoNimetoka kusoma Biblia sasa hivi
Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.
Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.
Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
View attachment 2727635