Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Acheni upotoshaji na ubinafsi wa kikatoliki swala la kufanya mapenzi ni pana sana
 
Kwa hesabu hizo Kuna wamba Wana miaka - 20 lakini nashangaa wapo hai na wanadunda mtaani na wameadvance wanafyatua wake za watu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†! Ila mkuu biblia haisomwi kama riwaya! Kuna akili kubwa na unyenyekevu mkubwa katika kuisoma
 
Babu zetu,wazee wetu wamezaa huko na huko na wengi wako miaka 90 au zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…