Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,442
Na wanaozini na waume za watu wanapunguziwa miaka mingapi au nikwa wake za watu tu?Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi
Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.
Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.
Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
AiseeNakusanya rambirambi..
🤣🤣Labda kama unazungumzia the afterlife, kwa dunia hii nadhani tungekuwa tumefutika.
🤣🤣Na wanaozini na waume za watu wanapunguziwa miaka mingapi au nikwa wake za watu tu?
Hao walipiga saaana. Na walienda umri mkubwamfano mi mi role model wangu ni Daudi na Suleiman
Alikuwa nazo. Na hekima pia.Suleiman alikua hana akili?
Mithali 6:32Hapana haya ni yako,
Uzinzi ni dhambi lakin maswala ya miaka 5 off hapana,
Ni uongo mzuri Sana,
Watu wasitishwe kwamba miaka itapungua ndo waache kuzini, waache kuzini kwa kumpenda kristo and nothing else
Sio 5 years Sasa, ni kweli lakin hesabu haziko sawaMithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6:32Hapana haya ni yako,
Uzinzi ni dhambi lakin maswala ya miaka 5 off hapana,
Ni uongo mzuri Sana,
Watu wasitishwe kwamba miaka itapungua ndo waache kuzini, waache kuzini kwa kumpenda kristo and nothing else
Wajane NI wengi kuliko waganeNa kwa mwanamke pia aziniye matokeo ni hayohayo
Amina mtumishiNilishangaa Nilipopata Ufahamu huu ya Kwamba Utukufu wa Mwanaume upo kwenye sperms zake .. Kadiri unavyozitoa ovyo Kwa wanawake ovyo ndiyo uzao wako UNAKUWA wa kawaida sana na huathiri Mafanikio yako . " Uzuri wa Mwanamke ni kama umeme "
HamnagaSawa na kwa mwanamke aziniye
Mithali 6:32Labda kama unazungumzia the afterlife, kwa dunia hii nadhani tungekuwa tumefutika.
Yesu anawaombea Kwa Neema yake na huruma ndio maana wapoBqsi kuna watu wanadaiwa miaka na Mungu,maana akipiga hesabu hiyo 5 akitoa na umri wakw anapata negative
Wagane NI wachache kuliko WAJANENikizini na wewe unaongezewa miaka 10...
Wagane NI wachache kuliko WAJANEKwa hiyo wanataka azini na mdoli au?
Weeeeee, hongerauzinzi mm nimeuacha mbona,,,na nikioa ntakuacga kabisa
Wagane NI wachache kuliko WAJANEngojs aje kukupa muongozo