Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mimi Sina akili kabisa ndiyo maana nataka nikuzini....😅😅
 
Rico strong kala Wanawake tufanye 100+ hivi kwa kumuonea huruma[emoji28]

Sasa 100×5=500 WTF[emoji15]

MIAKA 500
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Mbona mnamlisha Mungu maneno. Kama ni hivyo solomoni angekufa mapema sana
Solomon ufalme wake ulikatishwa akarithi mwanae mcha Mungu, Mungu alimkasirikia
Kasome Biblia vizuri
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
kwa wiki hii nimepunguza miaka 30
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
🤣🤣
Mleta uzi anatuchota akili eeh
Hapana

Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Mstari wa kupunguza hiyo miaka mitano ni mimi tu sijauona au nna kengeza?
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Khakhakhaaaa!!

Ukweli mchungu huu dadalake!!
Acha tu
Wajiulize

Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
nitofautishie kati ya uashelati na uzinzi? Alafu nikwambie kitu
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Na wanaozini na waume za watu wanapunguziwa miaka mingapi au nikwa wake za watu tu?
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Mwanaume huwa azini
Anaezini Ni mwanamke[emoji4]
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…