Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Niambie no apartment ipi ya mtu binafsi ( ghorofa ) Ambayo Haina watu Dar ?H
Mimi najichanganya au wewe?
Wewe unaamini sababu ni rent kubwa, mm nakuambia sababu sio ukubwa wa rent Bali uchumi tulionao hauruhusu.
Hata rent ilishushwa bado sehemu kubwa itabaki wazi sababu uchumi wa watu hauruhusu. Wewe umeandika nadharia. Mambo ya kufikirika zaidi ikiwa uhalisia hauendani kabisa
Unasema yajazwe maghorofa hapo kwenda juu, bila kujua wataojenga hayo maghorofa watapata hasara sababu uchumi wa watu upo chini. Ndio nikakutolea mfano hapo sinza Kuna psssf tower ipo wazi hadi leo hii
Kwenye ulimwengu wa finance hilo ni jambo simple sana. Naona umeuliza kana kwamba unadhani ni jambo gumuHuyo wa kununua watu wote buguruni, tandale, keko, vingunguti n.k alafu akajenga upya maghorofa ni Nani?
Mkuu huenda hujui kinachofanyikaHilo Tangazo la Serikali kuna mahala wameandika karakana? Au ni ubunifu wako?
Simple? Hizo trillion of money za kulipa fidia na kuanza kujenga upya zinatoka kwa nani?Kwenye ulimwengu wa finance hilo ni jambo simple sana. Naona umeuliza kana kwamba unadhani ni jambo gumu
Hizo ni karakana za mwendokasi punguza uchawa mdogo wangu, hakuna dar mpya wala niniHilo Tangazo la Serikali kuna mahala wameandika karakana? Au ni ubunifu wako?
Hilo nalo neno, Ila kama hawa jamaa wanaosema hao wanaoingia ni wakazi wa Kizimkazi unadhani wazo lako litakuwa na uzito?Serikali imalize kujenga reli kwanza
Kwa manufaa ya Umma, inamaana kunufaisha wengi zaidi kuliko mmoja pekeeNimekubali kuwa similiki chochote kwa asimilia mia. Eneo likiwa na madini ama likihitajika tu na wenye mamlaka unapisha tu. Sijui kama tathmini ya fidia itahusu mpaka hisia za wamiliki. Ewe banda langu nilikupenda sana lakini sirikali imekupenda zaidi,jiandae kupumzika kwa amani
Nyingi tu. Mfano palm villageNiambie no apartment ipi ya mtu binafsi ( ghorofa ) Ambayo Haina watu Dar ?
Mkuu, huyo jamaa ni chawa anakurupuka tuMkuu huenda hujui kinachofanyika
Ni ujenzi wa BRT ambao pia utahusisha karakana. Maeneo yatayoathrikka ni pembeni ya barabara. Si kupanga upya Kama ulivyosema
Tumechelewa sana kufanya master plan hasa kwenye majiji,Piga ghorofa 20 kwenda juu tu hapo. Ofisi na apartments.
Panga parking za magari za kutosha.
Ongeza miundombinu ya kuongeza maji. Wekeza kwenye mifumo ya maji ya zimamoto na ofisi/ vifaa vyao.
Weka usafiri wa kueleweka wa mwendokasi.
Panga mitaa na shule, parks, open spaces etc.
Dar es salamm ina population growth rate ya 5%. Kwa rate hii, Dar ita double population kila baada ya miaka 15.
Serikali inatakiwa kujiandaa na mfumuko huu. By 2040 Dar itakuwa na watu mara mbili ya sasa.
Njia pekee ya kueleweka kujiandaa ni kujenga kuenda juu.
Kiongozi unatia aibu Sasa. Inaposemwa dar mpya maana yake ujenzi wote huo wa BRT utaibadilisha dar na muonekano wake. Ndio maana wanasema kui-shape Dar.Karakana ni sehemu ya Dar mpya, kwa nini unakuwa mgumu wa kuelewa? Kunguni mna shida sana
Piga ghorofa 20 kwenda juu tu hapo. Ofisi na apartments.
Panga parking za magari za kutosha.
Ongeza miundombinu ya kuongeza maji. Wekeza kwenye mifumo ya maji ya zimamoto na ofisi/ vifaa vyao.
Weka usafiri wa kueleweka wa mwendokasi.
Panga mitaa na shule, parks, open spaces etc.
Dar es salamm ina population growth rate ya 5%. Kwa rate hii, Dar ita double population kila baada ya miaka 15.
Serikali inatakiwa kujiandaa na mfumuko huu. By 2040 Dar itakuwa na watu mara mbili ya sasa.
Njia pekee ya kueleweka kujiandaa ni kujenga kuenda juu.
Hapo kwa individual hawezi kufanya huo uwekezaji ila inakuwa ni kampuni ya commercial real estate wanaweza kufanya hivo gradually sio kwa mkupuo.Simple? Hizo trillion of money za kulipa fidia na kuanza kujenga upya zinatoka kwa nani?
SahihiTumechelewa sana kufanya master plan hasa kwenye majiji,
Na wanapaswa kwenda kupanga mapema mji unakoelekea na sio tena katikati ya miji
Naona kunaangaliwa sehemu kwenye fursa za kibiashara zaidi.Wakifanikiwa kuipanga upya kimakazi Dar! Na baadae kufanya haya nchi nzima! Hili linaweza kuwa jambo kubwa zaidi la kimaendeleo kuwahi kufanywa katika nchi hii.
Ila kama kupanga na kuijenga upya waanze na maeneo yaliyojengwa vibaya zaidi kama Manzese, Kigogo, Mbagala, Mabibo na kwingneko. Then ndo waende hayo maeneo mengine.
Mitazamo inatofautiana, wengine wanabiashara zao zinawalipa kununuliwa ni pigo kubwaHapo kwa individual hawezi kufanya huo uwekezaji ila inakuwa ni kampuni ya commercial real estate wanaweza kufanya hivo gradually sio kwa mkupuo.
Unajua pale buguruni nyumba hazijajengwa kwa ustaarabu sasa mfano ukinunua nyumba za chini kama 10 kwa hata milioni 300 kwasababu zile nyumba ni choka mbaya, hapo unaweza pata eneo kubwa ukapandisha apartment za kwenda juu za ghorofa 10 ambapo hapo unaweza kupata apartment za kutosha hata zaidi ya 50
Huo ni mradi wa BRT inshu za sijui dar mpya mara wanapanga upya si wangechukua manzese, vingunguti au buguruni?Karakana ni sehemu ya Dar mpya, kwa nini unakuwa mgumu wa kuelewa? Kunguni mna shida sana