Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?


Asante Aunt πŸ™
 
Molested tena, mbona unatumia maneno mazito sana mkuu.
Dunia ya leo imekosa uungwana.

All it takes is one wrong intention ya daktari kubadilisha kipimo kuwa ulawiti.

Nitakuwa na ithibati gani the finger wiggling is a part of the test na sio kuwa jamaa linafanya yake.

I wouldn't want to find out hivyo, huko ni no gone zoneπŸ˜€.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Dada wane Binti wa zamani, andiko lako ni nyeti sana na umeliandika humu kwa watu ambao hawafikirii wala hawawazi kama kuna siku wanaweza kupitia ugonjwa kama huu.

Lakini tukumbuke
1. Kipimo cha dakika chache kinaweza kuokoa maisha ya miaka mingi. Na Madaktari hufanya taratibu hizi kila siku; kwao ni kazi ya kawaida kabisa ya kitabibu, si jambo la aibu wala la kudhalilisha mtu. Faragha huheshimiwa. (Hata Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete alishawahi kuibiwa huu ugonjwa na akapona

2. Ugonjwa hauondoki kwa kukataa kipimo. Ukigundulika mapema, matibabu huwa rahisi, nafuu, na yenye mafanikio makubwa. Ukichelewa, gharama yake huwa kubwa kiafya, kifedha, na kihisia kwa familia na jamii nzima.

3. Ujasiri wa kweli sio kukwepa kipimo, bali ni kuchukua hatua ya kulinda afya yako kwa ajili yako na kwa ajili ya watu wanaokupenda. Familia inakuhitaji ukiwa hai na mwenye afya.

Afya zetu ni muhimu kuliko aibu ya dakika chache 🀣🀣🀣
 
Umeandika kwa busara sana kaka yangu na ni ukweli mtupu.
Waione wote wanaopinga hicho kipimo, akiwemo shemeji yako πŸ˜‚
 
Ndiyo hiyo ya kuingiziwa camera aliikataa
Kwahio walitaka kumuwekea kilainisha(KY)🀣🀣 kuna mshkaji wa kitaa alikwenda somea udaktari(MD) sasa wakati yupo Intern aliwepo Muhimbili. Alisema yeye na wenziwe ilikuwa tabia yao kuwatia vidole vya nyuma wagonjwa kwa makusudi hata kama mgonjwa hahitaji kufanyiwa hivyo🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…