Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Kule ukuryani kuna tiba ya kuingiziwa dawa huko kwa anal kama unaumwa makaptura..
Yaani unaingziwa dawa ikiwa imetwangwa inasongobekwa kwa kidole
Au wanatumia serenji ya sindano kupuliziwa dawa humo ndan
 
Mbona mada za miku**du JF zimekua nyingi mtoa mada kuna pensheni unachukua kutoka njee

Ila hii ni hazina haiguswi
Umeshawahi kuniona nimeleta mada ya mataukoour humu? au unaongelea nini?
 
Aisee
 
Ilinitokea hii, baada ya vipimo vingi sana dokta akashauri nipimwe kwa njia ya mknd, sikurudi tena, nilikimbia kama mwizi. Nashukuru tu tumbo nalo likapona bila dawa, nilijua huenda ni kansa, hata watu wa karibu walihisi ilikuwa kansa. Ila nilijipa matumaini as niliumwa miaka mingi, toka mwanzoni mwa 2000 hadi 2016 ndio maumivu yakapotea.
min -me kama unakumbuka tuliwahi kudebate hii kitu.
 
Chai.

Kama ni kweli huyo amekosa medical ethics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…