Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Yeah nakumbuka bwashee
 
Asa wakishashika hiyo prostate gland na ndo mnasemaga g spot ya mwanaume ipo huko huoni utataka uwe unaingiziwa Kila siku
 
Na wangu kakataa, tuwaombee tu wabaki salama.

Wanakuchoma sindano unalala, wala ukiamka hutojua wamefanya nini, shida ni kwamba kabla ya kulala, tayari unakua ushajua watakachokufanya 😂😂.
Kwahiyo ukiamka hutojua wamefanya nini Tena???? Hii mbona ndo hatari zaidi
 
Ukibanwa vizuri utasema tu.
 
Kuna namna nyingine ya kupima prostate. Damu inachukuliwa kwenye mshipa wa mkono wanaipima kuona kuwango cha PSA
Prostate Specific Antigen pekee haitoshi lazima na digital rectal examination ihusike.

Lazima physical examination ifanyike kupalpate kujua size, consistency, tenderness nk.

Kama itakuwa hard asilimia kubwa ni cancer ,kama soft huenda ikawa benign prostate hyperplasia.

PSA inakupa biochemical informations ila DRE itakupa physical informations hivyo haikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…