Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

If your answers are not an enthusiastic yes, you have work to do.
Aside from being a better father and husband, what you model is what your kids will tend to do and seek. If that doesn’t scare you, I don’t know what will....🤨
 
Everyday my wife pray for our daughter "Dear daughter, I pray you'll marry a man one day who loves you the way your daddy loves me, and who loves his children the way he loves you... and I'm the one who says AMEN after her prays....😊
 
Binafsi Niko tayari.Mwanagu wa kiume akipata mwanamke kama mimi atafurahia Maisha yake.Likewise huyu wa kike nae akipata mwanaume kama Baba yake nitafurahi zaidi.
 
Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako?

Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
My friend....
Umdhaniaye siye ndiye...

My friend....
Unaweza ona kuwa 'huyu anatabia nzuri' kumbe nyuma ya pazia anatabia mbaya sana tena kuliko ulizokuwa nazo wewe.
 
Mimi ke wote walinambia sijui kubembeleza na kutotunza kitu rohoni lazima kosa lako hata dogo nikwambie ukikasirika utajua mwenyewe. Ukiondoa hayo basi apate kama mimi. Ikiwa nitajaaliwa mtoto wa kike
 
Hahahha mtoto wangu wa kiume akipata wife mwenye tabia zangu atafaidi sana.
Atakuwa na mke anayekuja na packages kama zote… Mpishi mzuri, mlezi bora, entertainer (mwimbaji na dancer😂) ndani hapaboi hapakeri, mwenye kujua kupeti peti mume (massage kama zote). Ila atateseka maana huwa nina gubu wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom