Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

Hizi tabia zangu kiukwel n za kurithi kutoka Kwenye damu na Kwa jinsi ninavyomuona wangu anaenda kuwa mara kumi ya mm😅😅😅 cjui itakuwajee jmn uwiiiii
 
Hizi tabia zangu kiukwel n za kurithi kutoka Kwenye damu na Kwa jinsi ninavyomuona wangu anaenda kuwa mara kumi ya mm[emoji28][emoji28][emoji28] cjui itakuwajee jmn uwiiiii
Kamandaaaaa mbona yowe kukupata nibonyeze button ipi???
 
Kwamimi fresh tu sina makuu , ila asije akawa anavaag mabomu kama yangu
 
Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako?

Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
I00%
 
Kama kataa ndoa inavyozidi kupamba moto ndivyo kizazi kijacho kitavyo hustle kwenye mahusiano mazuri ya ndoa.
Haijalishi mtoto apate mume/mke mwema mahusiano mazuri yatakua hadimu sana.
Mungu tu awanusuru watoto wetu.
 
Sio kizazi kijacho mkuu. Kuanzia kizazi hiki ni shiida
 
Back
Top Bottom