Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Mkuu wanapambana au Ukraine anajihami tu?
 
Samahani Broh, hivi hii inaweza kuwa sababu ya kutosha kujustify uvamizi wa Russia? Marekani hawezi kufanya hivyo kupitia Estonia, Latvia au Turkey? Maana hao wote ni wanachama wa NATO wanalio karibu kabisa na Russia.
Nahitaji kujua Broh, sipo vizuri kwenye masuala haya ya siasa na migogoro ya kimataifa.
 
Mimi napenda sana nchi ikiongozwa na jasusi mzalendo kama Putin. Putin kiapo chake ni kufa kwa kuitetea nchi yake, kwahiyo usitegemee Putin kama jasusi atakubali kirahisi rahisi kutoka Ukraine. Akiona analemewa sana ataomba meza ya majadiliano lakini Hilo pia sitegemei kama litatokea maana ninavyowajua majasusi wazalendo hawanaga simile..!

Hawa jamaa wapo tayari hata kudondosha Nuclear weapon popote duniani ndiyo akubali afe au auwawe na warusi na KGB Yao watamficha sehemu huku akiendelea kula kuku kwa mrija na wanaweza hata kumfanyia plastic surgery akaja Tanzania kama Mwekezaji akaendelea kula bata
 
Yaani Putin ahangaike mpk na ma plastic surgery kisa hao mashoga?Never
 
Mpuuzi ni wewe na nchi yako mzee sio putin!
Wewe mweusi wa afrika putini anakuhusu nini, tuanzie hapo....au jini mahaba amekukamata?
hata nikimbabatiza putini na kumuuliza raisi wa tanzania ni nani atajing'atang'ata.....
 
Tafuta hela wewe njaa kali....na hii ndio kanuni ya maisha....
unaleta mahaba kwa putini wakati unaishi ileje....zwazwa kabisa...
 
Maisha yako ww yana mhusu nn yeye?
Kinacho angaliwa ni maslahi ya taifa lake na sio mlala njaa kama ww.
Nikuonee huruma wewe ...pole sana....
Ningekuwa naishi kwa shemeji kama wewe lazima ningemshabikia putini ......shauri yako....yakibuma atakurudisha kijijini
 
Mahaba haya, eti Russia hata kwa Germany hachomoi. Haya endelea kuota
 
Aliyesababisha haya ni US and NATO. Kuna haja gani ya kutaka kwenda kuweka missile zake Ukraine??
Hata ingekuwa mimi adui yangu mkubwa aje apange chumba cha jirani nitafanya figisu hadi atoke hapo.
 
Tukaaminishwa ndani ya siku tatu Ukraine itakua chali.

Ikaja wiki.

Wakasema kesho tu Putin anamaliza kazi.

Moto unazidi kuwaka.

Bei za vitu zinapaa.

Raia wamekomaa kusema vita iendelee
Kama hatukuwaambia wapigane na bado wakaamua kupigana
Unahisi kama tukiwaambia wasipigane wataacha kwakua tumewaambia wasipigane
Acha UKRAINE aendelee kula kipigo mpaka anyooke
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Kuvamia kwa kujilinda ni haki.

That’s a very loose angle. Hiyo ni kuzipa ruhusa (blank check) nchi zenye nguvu na viongozi wakorofi kunyanyasa nchi nyonge.

Ni kama US ilipovamia Iraq 2003 bila kibali (sanction) ya UN. Au Germany ilipovamia Poland 1939 kwa kisingizio cha kujilinda kumbe tayari wana mipango ya kufagia hadi Moscow na London!
 
zelensk hakuwa rais aliyechaguliwa na wa Ukraine wenyewe,NI pandikizi la USA &NATO ,alipandikizwa ili a push ku accomplish the mission dhidi ya russia. Thus why haoni hasara yeyote kwa dhiki wanayopitia waukraine .since when US & NATO become a truely friend!!?? Since when !!!???, if you see Americans are close to u ,there something paratable for their stomach!!!
 
UKRAINE imebakia majivu jamaa anaomba msaada kila leo na bado anapigika
RUSSIA sio ZIMBABWE

Huyo jamaa haombi misaada ila anapewa misaada yote inayohitajika ili vita ipiganiwe Ukraine.

NATO ni sehemu katika vita hivi. Kila mtu anajua hivyo isiyokuwa wewe uliye kenua sawa sawa hapo:

 
Wote Wamepoteza na hasa Ukraine kapoteza zaidi, Mrusi kapoteza kinyume na matarajio yake kwamba vita ile ingekuwa kitu rahisi kwake.

Kijeshi au kivita, Mrusi kapoteza zaidi kwa askari wengi na vifaa vingi (vifaru + ndege) kuangamizwa.

Ukraine imepoteza zaidi kwa miundombinu, majengo mengi kubomolewa, raia wengi kuuawa na kukimbilia uhamishoni.
 

Kwanini wa Ukraine wameshindwa kumwondoa madarakani Russia war machine ikiwa 20km tu kutokea Kyiv city centre?

Umbali huo ni Kimara magogoni mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…