Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Hawa watu hawajui hili!

Usalama wa nchi si wa kuruhusu kuchezewa au wa kusema ngoja tuwaone wafanyaje! Ikiwa kama diplomasia imeshindikana njia pekee ni kutumia nguvu.

Sasa hawa wengine wanaleta mizani ya ?mbinu za kisiasa na ndiyo watakuambia Ukraine nchi huru. Uhuru wa kuhatarisha usalama wa nchi jirani yako!? Hii kitu haipo!
 
Kwani hizo hypersonic hazijatumika kwenye hii vita au wewe umeanza kufuatilia jana hii vita? Zimetumika na hakuna jipya zaidi ya kasi yake ya kufikia target husika kwa haraka,lakini madhara yake ni madogo sana zinazidiwa hata na Tomahawk Missile.
 
View attachment 2179858
 
Hiyo hoja kuhusu "kuomba msaada" sidhani kama ina uzito wowote ukizingatia hata historia ya masuala ya vita duniani.

Wakati USSR inavamiwa na Hitler (Operation Barbarossa) kipindi cha Vita ya Pili ya Dunia, kina Stalin waliomba misaada kwa nchi zote washirika ili kumkabili Hitler.

Walipatiwa misaada ya namna mbalimbali ambayo ilikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha kumuondoa Hitler.

Ni historia ambayo mpaka leo iko katika kumbukumbu za Urusi ya sasa, na inasherehekewa kila mwaka, kutokana na jinsi ambavyo mchango wa nchi washirika ulivyoweza kusaidia kupatikana kwa ushindi katika Vita ya Pili ya Dunia.
 
Mpuuzi ni wewe na nchi yako mzee sio putin!
 
Bora leo umekuwa neutral na kuongea hali halisi maana wewe ni Pro Russia wakutupwa.
 
Wewe hufahamu USSR ilitandikwa mpaka Hitler alibakiza km chache aingie Moscow?

Na ndipo mchezo baadaye ulibadilika?

Kwa hii hoja unakiri kwamba Ukraine nayo inatandikwa ila bado hatujaona wakibadili mchezo.
 
Russia amemshindwa Ukraine mwezi was pili sasa ndio atamuweza U.S?
Russia hatumii nguvu zake in full mzee. Yani ni sawa na unamkabili mtoto mdogo kimwili mnacheza anakupiga mateke na makonzi ila wewe una defend tu hurudishi kwa nguvu maana utamuumiza
 
Wewe hufahamu USSR ilitandikwa mpaka Hitler alibakiza km chache aingie Moscow?

Na ndipo mchezo baadaye ulibadilika?

Kwa hii hoja unakiri kwamba Ukraine nayo inatandikwa ila bado hatujaona wakibadili mchezo.
Hoja kuhusu "kutandikwa" ni subjective.

Katika vita ya sasa, madhara yameonekana pande zote. Ila, scenario ninayoiongelea ni jinsi ambavyo USSR ilivyosaidiwa vitani. Walikuwa wakishinda vita dhidi ya Hitler huku wakiendelea kupokea misaada mbalimbali.

Kuomba misaada hakuna maana ya kuelekea kushindwa!
 
Russia hatumii nguvu zake in full mzee. Yani ni sawa na unamkabili mtoto mdogo kimwili mnacheza anakupiga mateke na makonzi ila wewe una defend tu hurudishi kwa nguvu maana utamuumiza
Na washukuru Mungu rais wa Russia ni Putin. Laiti angelikuwa yule kiongozi wa Chenchen hii vita ingelikuwa imeshaisha!

 
Atavuna alichopanda. Siyo Donbas na Lohansk peke yake kumbe jamaa wanaitaka na Crimea kabisa.

Kumbe ndiyo sababu ya mabio yote kurejea nyuma ili kujizatiti kwanza kwenye matatu hayo.

Kazi anayo.
Kyiv akipewa anachotaka basi hii vita itakuwa mbaya kwa wote na itachukua muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA kama yeye mbabe wa Dunia arushe hata risasi Moja katika Ardhi ya Russia halafu washirika wake wakae pembeni vita ipigwe Kati yake na Russia tuone mbabe Nani?...
Ukraine pekee kamtoa Urusi kamasi huyo Marekani si ndo Urusi atatumia Nukes?

Marekani ana uwezo wa kusambaza wanajeshi hata 100000 ndani ya siku 3, Urusi hana huo uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…