permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Itamchukua Urusi miaka zaidi ya 20 kabla ya kurudia kwenda kichwa kichwa. Akina Peskov baada ya kunywa vodka walikua wanamdanganya Putin kuwa ndani ya wiki wanaiteka Kyiv.hv siku nyingine Urusi atajaribu kuvamia tena kizembe? resistance ni muhimu
Itahitaji nguvu kuendelea kulishikilia hilo eneo mkuu,nguvu ya silaha na rasilimali watu/jeshi.Mwezi huanda na siku.
Itahitaji nguvu kuendelea kulishikilia hilo eneo mkuu,nguvu ya silaha na rasilimali watu/jeshi.
Vyote hivyo ni haba kwa Ukraine.
Hilo halimaanishi kuwa Russia hatojibu mapigo.
Kwa hiyo ww kwa akili yako unaweza kufanya uvamizi dhidi ya mipaka ya nchi nyingine kwa wanajeshi 1000 na magari 20 alafu utegemee warudi salama?hata ungeivamia
Utaleta mrejesho wa kuuliwa wote 1000.Kwa hiyo ww kwa akili yako unaweza kufanya uvamizi dhidi ya mipaka ya nchi nyingine kwa wanajeshi 1000 na magari 20 alafu utegemee warudi salama?hata ungeivamia Somalia?
Ukraine kulishikilia Hilo eneo kweli ni ngumu.,vita itakuwa ni Kali mno...,tujiandae kuona vita kama Ile iliyoacha mji wa bakhumut ukiwa magofu ikijirudia huko Kursk, maana warusi watatumia nguvu zote kama walizotumia huko bakhumutItahitaji nguvu kuendelea kulishikilia hilo eneo mkuu,nguvu ya silaha na rasilimali watu/jeshi.
Vyote hivyo ni haba kwa Ukraine.
Ukraine kulishikilia Hilo eneo kweli ni ngumu.,vita itakuwa ni Kali mno...,tujiandae kuona vita kama Ile iliyoacha mji wa bakhumut ukiwa magofu ikijirudia huko Kursk, maana warusi watatumia nguvu zote kama walizotumia huko bakhumutHilo halimaanishi kuwa Russia hatojibu mapigo.
Lazima mapigo yatajibiwa tena mara dufu zaidi ya hayo.
Mambo ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥Hilo halimaanishi kuwa Russia hatojibu mapigo.
Lazima mapigo yatajibiwa tena mara dufu zaidi ya hayo.
We tulia hiyo ni vita .Mambo ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
The Ukrainians have already reached the Russian Nuclear Power Plant, the entrances to the Kursk Nuclear Power Plant are blocked. Power was turned off in the units of the nuclear power plant under construction, the builders left the premise and fledView attachment 3065581re
The Freedom of Russia Legion, which supports Ukraine in its war against Russia, has urged residents of Kursk Oblast to share information on Russian forces, leading the Federal Security Service to detain locals for filming Russian troop defeats.We tulia hiyo ni vita .
Muda upo mkuu tusimalize nishati mwili bure.The Freedom of Russia Legion, which supports Ukraine in its war against Russia, has urged residents of Kursk Oblast to share information on Russian forces, leading the Federal Security Service to detain locals for filming Russian troop defeats.
Ya kwamba wanajeshi 1000 ndo watampa wakati mgumu Putin?
walifikaj hapo bila kumudu mapigano ?Siongei ushabiki natumia akili vema sana.
Jeshi la Ukraine ni crippled and dismantled army.
Hawataweza kuhimili mashambulizi haya upunje.
Kama wameshindwa kuhimili mashambulizi ya ardhi yao iliyotekwa sembuse ardhi mpya waliovamia!??
Think critically bro.
kwa akili yako unaamin Russia alikuwa hajui kuwa kuna vita mpk Ukraine alipoingia kwenye hilo jimbo ? ukiona Ukraine wanemrudisha Urusi kutoka nje ya kiev mpk sasa wanapora baadhi ya maeneo bas juwa hali si nzur kwa Urusi kwa baadhi ya maeneo ya vitaHilo halimaanishi kuwa Russia hatojibu mapigo.
Lazima mapigo yatajibiwa tena mara dufu zaidi ya hayo.
Eneo lililotekwa ni la mpakani na Urusi.kwa akili yako unaamin Russia alikuwa hajui kuwa kuna vita mpk Ukraine alipoingia kwenye hilo jimbo ? ukiona Ukraine wanemrudisha Urusi kutoka nje ya kiev mpk sasa wanapora baadhi ya maeneo bas juwa hali si nzur kwa Urusi kwa baadhi ya maeneo ya vita
Ukitumia ushabiki huez elewa
Counter offensive.walifikaj hapo bila kumudu mapigano ?
hv unajuwa hata raman ya eneo lenye mapigano mpk sasa ? hv unajuwa Urusi alikuwa kakamata eneo gan kwa feb 2022 je unahisi hao wanajeshi na vifaru vyao walipitia wap kufika mpk mpakani ? au unahisi walishushwa na chopa mpk ndani ya maeneo ya UrusiEneo lililotekwa ni la mpakani na Urusi.
Ukraine huwa wana mtindo wa kutumia counter offensive.
Hata walipokua wanataka kukomboa Donetsk walifanya hivi hivi kama walivyofanya sasa,ila mwishowe hawawezi kuhimili mapigano ya muda mrefu kesha wanakimbia.
Donetsk walikimbia hivi hivi ilhali walishaanza kusogelea mji kwa ndani.