Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Nikikuletea kutoka kwenye Qur'an utasadikisha?
Itanisahida kuondoa hii dhana niliyonayo kuwa ni Muhammad Pekee kati ya manabii laki 1 na 24 ndiye anayepinga kuwa Mungu hana mwana wakati manabii wengine wote laki 1 na 23 wanakubali kuwa Mungu ana Mwana. Lete ushahidi toka kwa nabii mwingine nje na Muhammad kuwa Mungu hana Mwana.
 
Reactions: 511
Ok.sijawahi ona ulipojieleza ndio maana kikauliza.
Asante kwa jibu lako.

Amri kuu ipitayo zote ni UPENDO
 
Hivi mtu anayeamini kuna mungu watatu na anayeamini atapona kwa kukanyaga mafuta hao si wakuwaonea huruma kabisa
Hivi ni wewe unaamini,

Lakini amini amini nakuambia,hakuna mtu wa kuwekewa matanga kama anayeamini Mungu anaweza kumpa utume Muhammad.
 
Reactions: 511
Naam vitabu vyote vinne yaani Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an vyote vimeshushwa toka mbinguni. Maandiko ya manabii yalikuwepo hata Muhammad hajazaliwa ?

Unataka kusema Qur'an ilikuwepo kwa manabii wengine ? Umekisoma ulichokiandika ?

Swali zuri, habari za Musa, Ibrahimu, Yesu kwa Muhammad zilitoka kwa Allah kwa kumfunulia mja wake.
 
Kwani ujumbe mkuu wa Quran ni upi??
 
Reactions: 511
Mohammad alikopi biblia, akachanganya na hadithi za kikureshi.
Hivi unaamini malaika akamkaba jamaa kwa kiwa hajui kusoma?
 
Hizi Dini zimepishana Miaka 500 inakuwaje zinafanana au mmoja kakopi mwenzake povu rukhsa.
 
Reactions: 511

Hakuna sehemu ambayo nimesema Qur'an imeshushwa na Muhammad, bali Qur'an ameshushiwa Muhammad toka Mbinguni.

Ushawahi kuisoma Qur'an ? Maisha ya Muhammad hayapo kwenye Qur'an, bali yameelezewa kwenye hadithi, athari za Maswahaba na kwenye vitabu vya Historia. Kumbe najadiliana na mtu ambaye Qur'an haijui.

Naam, kuna ushahidi tena mwingi, yaani kwetu sisi kuna chain ya wapokezi wa maandiko yetu mpaka kufika kwa Mtume, kitu ambacho nyinyi hamna. Mfano ukimsoma Imam Bukhari, amenukuu hadithi toka kwake mpaka kwa Mtume. Lakini leo hii hatukuti chain inayotoka kwa Luka mpaka kumfikia Yesu. Sasa tutaamini ya kuwa Luka alimuona Yesu ?
 
Kama umeona yeye hajawataja si umtajie wewe kuliko kurudia swali moja kila mara
Nataka aone uongo wake ulipo, sababu mpaka kesho hawezi kuthibitisha ya kuwa hao ni wanafunzi wa Yesu.
 
Hivi kwa imani ya kikiristo hawa akina nabii tito huenda miaka buku ijayo wanaweza kuwekwa kwenye biblia na vitukuu vyetu vikaja kusoma unabii wao?
 
Wewe unaminije hiyo chain kutoka kwa bukhari ni hakika??
Unarejea wapi halafu uje ukatae namna iliyopo ktk bible kuambiwa"hii ni injili kama ilivyoandikwa na luka"??
Yote si ni maandishi tu mtu anaweza andika kama ana nia yake!!!!
 
Hizi Dini zimepisha Miaka 500 inakuwaje zinafanana au mmoja kakopi mwenzake povu rukhsa.
Iko wazi
Jamaa alikuwa na maisha magumu sana mpaka anafikish 40YRS. Akaolewa na kilelewa kama marioo lakini wapi. Akaamua kutafuta biashara ya kumtoa kimaisha, akaja na wazo la kuwa mtume, hatimae Kakafa akiwa tajiri
 
Mohammad alikopi biblia, akachanganya na hadithi za kikureshi.
Hivi unaamini malaika akamkaba jamaa kwa kiwa hajui kusoma?

Ndio maana nasema Wakristo hamjishughulishi na kusoma, mpo mpo. Kipindi cha Muhammad hapakuwa na Biblia hili jambo la kwanza.

Pili, Mtume wetu alikuwa hajui kusoma wala kuandika, aliwezaje ku copy kwanza na kipindi hicho Biblia haikuwepo ?

Hadithi ziko wazi, tamko kukabwa linatumiwa na nyinyi maadui wa Uislamu lakini katika masimulizi hakuna kukabwa bali aliminywa, lakini jalia ya kuwa alikabwa ndio, tatizo liko wapi ?
 
Umetawadha leo kabla ya kubinua makalio? au swaumu imekukaba koo?
 
Reactions: 511
Ni kweli ni dini mbili tofauti
Moja mungu wao ana mtoto na wao wanaomba na kuabudu kwa jina mfu aliefufuka

Nyingine inamuabudu Mungu mmoja tu ambae hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anaefanana nae.
 
What a coincidence! Yaani kwenye Qur an kuwe na Adam na bible pia kuwe na Adam, Huku kuwe na Nuhu na kule kuwe na Nuhu, huku kuwe na Suleiman na kule kuwe na Suleiman, Huku kuwe na Musa na kule kuwe na Musa, na wengine wengi alafu watu hao wawe ni nitofauti.

Kimsingi bila kuleta ushabiki, watu ni walewale lakini kuna tofauti ndogo za kimasimulizi kuhusu hao watu.
 
Qur’an imeandikwa na nani Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…