Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Wewe dogo unajifanya mjuaji sana wa haya mambo wakati ukweli huujui. Na unapenda ligi za kidini ukitetea ukristo wako wakati huna elimu and so unakosa moral authority to establish this type of discussions.

Naomba nikujibu point yako ya kwanza ya Ibrahim.
Kiarabu kina wenyewe sio mnatafsiri mnavyotaka nyinyi. Hiyo aya ya Surat An'aam (6:74) Quran imetumia neno Abi kudenote baba (kama ambavyo wewe umetafsiri)......lakini katika ufasaha wa lugha, Abi haitumiki tu kudenote baba mzazi. Hata baba mdogo/mkubwa inatumika pia yaani uncles au mababu zako waliotangulia (ancestors). Nitakupa ushahidi juu ya hili:-
1. Ukisoma Quran 2:133 wakati Yaqub (Jacob) umemjia umauti akawauliza wanawe watamwabudu nani baada ya kufa kwake? Wakamjibu tutamwabudu Mungu wa baba zako Ibrahim, Ismael na Isihaka. Hapa Ismael naye kaitwa Abi wakati si baba yake mzazi.
2. Kwanza baba yake Ibrahim hakuwa mwabudu sanamu. Ukisoma Quran 14:41 Ibra anaomba yeye na baba yake na waumini wengine waingizwe peponi. So hii ni evidence aliyetajwa pale 6:74 si baba yake mzazi.

Baba yake Ibrahim kwa mujibu wa Uislam anaitwa Tarah, kasome kitabu cha Ibn Katheer, kinaitwa Al bidaya wa Nahaya volume 1 page 139.
Pia nenda usome Tafsiri ya Quran ya Tabari by Ibn Jarir volume 7 page 158 na Historia ya Tabari volume 1 pg 119.

Dogo, ukija huku ujipange sio unakurupuka kama mlevi wa wanzuki. Hivi hujiulizi, yaani makosa uje kiyaona wewe leo wa karne hii ya dot com, huko nyuma hakukuwa na watu wanatafakari mambo haya? Hawakupata majibu?
Ni bora uulize kuliko kuconclude usichokijua.
WHEN YOU ARE NOT SURE, GUESS POSITIVELY.
Sean.
 
Mimi Naamini Sio Kila Sahihi Ni kweli!
Kwahyo Sahihi Bukhari zote na sahihi Muslimu zote sio Sahihi zote kwa 100%

Kama unabisha Ninazo Hadithi kadhaa ambazo si za kweli Zipo.kwenye Sahihi Zenu!

Hilo liko wazi kuna hadithi dhaifu kadhaa, ila katika uso wa ardhi hii ukitoa Qur'an hakuna kitabu kingine kinachozidi usahihi sahihi AL-Bukhari.

Kingine yeye Imam Bukhari kitabu chake hicho alivyokiandika hakukipa jina hilo la "Sahih al-Bukhar", bali wanazuoni walio kuja baadae, baada ya kukipitia wakakipa jina hilo. Yeye imam Bukhari kitabu chake hicho alikipa jina hili "Al-Jami'ul Musnadus Sahihul Mukhtasaru Min Umuri Rasulullillah Sallallahu 'Alayhi Wa Sallam Wa Sunanihi Wa Ayyamihi."
 
🤣🤣🤣🤣
 
Alifunuliwa na kuagizwa awaulize watu walioshushiwa kitabu ili hali wakati wake biblia haikuwepo. Huoni allah na Mohammad wote walidanganya?

Watu wa kitabu aliwauliza kwa kuonyesha ukweli wake, sababu hata wao watu wa kitabu wapo walio muamini.
 
Mitume na manabii wote walikuwa na ujumbe mmoja ambao ni kumuabudu Allah na kuupiga vita ushirikina.
Ndio maana ukaulizwa,ikiwa vitabu vingine vilikuwepo Quran ilikuja na jipya gani kutoka kwa mtume wa kiarabu???
Ndio tunaomba uthibitisho kwa Alitumwa na Mungu hakika.wala hakukurupuka asubuhi akaja na hekaya kama nabii tito.
Mitume hupewa sheria kadhalika.

Kwa ufupi mitume na manabii wote wa Allah walikuwa na imani moja ya Uislamu ila walitofautiana sheria.
kwahiyo sheria zilikuwa za kwao binafsi au za Allah??

Hapakuwahi kuwa na mtume wala nabii wa kike. Hii ni nukta ya msingi pia chukua.
tuna uhakika gani??kama uislam una manabii zaidi ya 200k,tuna uhakika gani kama akina mwamposa na hata wa kike hawapo ktk hii orodha??
 
Reactions: 511
Mwanafunzi gani wa Yesu aliandika injili? Hakuna ushahidi wowote unaoonesha Marco, Luka wala Peter waliandika injili. Hivyo vyote havijulikani alindika nani. Sasa mandishi ya watu kwa utashi wao na uzoefu wao katika dini yanakuwaje neno la Mungu?
Yaani maandishi ya Paulo yawe neno la Mungu? Kwanini Yesu mwenyewe hakuacha maneno yake yawe neno la kuishi angalu tungeyaita neno la Mungu.
 
Sasa Tofauti iko wapi Kuita Sahihi Bukhari na Kuita kwa Kirefu chake?
Hapo umeandila Kirefu cha Jina La Sahihi al Bukhari..
Na hata ukiangalia maana ya hicho ulichokiandika Ni hicho hicho..

Mkuu hakuna Hadithi Dhaifu kwenye Hadithi zilizopewa Grade ya Sahihi..

Nafahamu unajua Grade za hadithi na ndo maana Nikaandika hivyo..

Kuna Sahihi, Hassana, Dhaifu na kuna mawduʻ au Maudhu (موضوع)..

Nilichozungumzia Ni kuhusu Hadithi zilizochambuliwa na kupewa Rank ya grade ya Sahihi..
Sio zote ni Sahihi...
 
Hakuna ushahidi wowote kuwa kuna mwanafunzi wa Yesu aliandika injili. Ni stori za watu tu.
 
Maandishi ya Muhammad yanakuwaje neno la mungu?
Thibitisha kwamba Muhammad alishushiwa neno lolote na mungu.
 
Ukisoma sahihi Bukhari Hadithi No 3..
juzuu ya kwanza..

Inasema Baada ya Waraqa ambaye alikuwa Mkristo aliyeijua Dini ya kikristo vizuri Kifariki Na Ufunuo.wahyi nao ukakoma kwa muda..

Yaani "Pause of revelation" Hujiulizi kwanini?
Kwa sababu Huenda aliyekuwa anamjuza Alifariki 😅 (natania)
But ndo.Ilivyoandikwa hivyo..

Kwahyo Baada ya kufariki Mjomba wake Khadija Mwanatheolojia wa Kikristo na Mungu naye akaamua kusimamisha Wahyi kwa muda kwanza
 
Hakuna ushahidi wowote kuwa kuna mwanafunzi wa Yesu aliandika injili. Ni stori za watu tu.
Utaupata wapi ushahidi usio na shaka kwa jambo lililotokea miaka 2000 iliyopita????
Hata tungeweka maandishi bado yasingefaulu,maana yanahamishwa kutoka chanzo hiki kwenda kile kwa tech tofauti.

Miaka 2000 ijayo kuna watu watakataa wakiambiwa watu leo wanatumia siku mbili kusafiri hapa mpaka kigoma,sababu tu hakutakuwa na video ya tukio wala mtu aliyeishi leo wa kuwahakikishia.
 
Reactions: 511
Huwa nawaambia ndugu zangu,hizi dini zina misingi dhaifu,lakini uislam uko ktk msingi dhaifu zaidi.
Ni vile tu watu hawasomi historia zake.

Kama uthman ndiye wa kwanza kukusanya Aya kisha akazichoma alizoona yeye hazifai😁😁😁,si tatizo hili???
 
Mkorinto kaka Soma Comment # 201 na #166
Tupate cha Kuanzia Kujenga Hoja
 
Sitii neno hapo
 
Reactions: 511
Maandishi ya Muhammad yanakuwaje neno la mungu?
Thibitisha kwamba Muhammad alishushiwa neno lolote na mungu.
Jibu hoja, usigeuze swali. Kwani ni wapi nimesema maneno ya Muhammad ni maneno ya Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…