Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Katika ukristo torati ni kitabu kinachomuelezea Musa.... Musa wa biblia na musa wa Quran ni watu wawili tofauti....

Quran haielezei Amri kumi za MUNGU ambazo ni nguzo za ukristo. Mikasa inatofautiana uwezi kusema mtu huyo ni mmoja kaka
Mkuu Inaonyesha Hujui maana ya Torati kabisa..!
Torati sio kitabu..torati Ni sheria,Amri Na hUkumu..
Yaani ndo zile unazosemaga Usiue ,Usizini..
Hizo ndo huitwa Torati au Sheria..

Torati sio maelezo mkuu😅😅..

Warumi 7:7

"
Tusemeje, basi? Torati ni dhambi? Hasha! Walakini singalitambua dhambi ila kwa sheria; kwa kuwa singalijua kutamani, kama torati isingalisema, Usitamani.

"What shall we say then? Is the law sin? God forbid. Nay, I had not known sin, but by the law: for I had not known lust, except the law had said, Thou shalt not covet."

Mkuu kabla ya vyote ningekushauri usome Sana ili kuelewa vitu
 
Ndio mnavyodanganywa na wazungu wenu ndio maana hata papa anawaambia anayowaambia maana hamjawahi kuwa na akili na mwamposa na wenzake watarndelea kuwageuza ng'ombe kila siku, haya nendeni mkakanyage mafuta
Unawaonea wivu kukanyaga mafuta!? Na wewe katafute cha kukanyaga kama vipi.
 
Mbona Makamba Senior anasema Yona aliyemezwa na samaki anaitwa Yunusu
 
DANIEL 3:25 “Look!” Nebuchadnezzar shouted. “I see four men, unbound, walking around in the fire unharmed! And the fourth looks like a God !”

Daniel
alijua Mungu ana mwana, Muhammad akamslimisha Daniel bila ridhaa yake na kusema alikuwa muislamu ila Muhammad huyo huyo akakataa UJUMBE wa Daniel kuwa Mungu ana Mwana.

HOSEA 11:"When Israel was a child, I loved him, and out of Egypt I called my son.
Hosea nae akaslimishwa na Muhammad na kila siku tunaambiwa manabii wote wa kale walikuwa waislam ila rajabu huyo huyo anaetuambia hivyo anakataa mafundisho yao ya kuwa Mungu ana Mwana.
Et kwasababu hana mke.. Mungu hana mwana kwasababu hana Mke, ila Mariam kiumbe asiye na nguvu zote, uwezo wote katika Kuran kaipata mtoto bila mme.
Na shetani katika quran ana kizazi ila hana mke. Ukimuuliza muislamu mke wa Shetani ni nani, hawana majibu. Ila Mungu tu ndiye anayetakiwa awe na mke ili Apatae mtoto!! Hii bhagosha!!. 😂
Isaia 7:14 the maiden is with child and she will bear a son, and will call his name Immanuel.

Naye ni muislamu kwa mjibu wa Muhammad ila isaya alipotoka aliposema Mungu ana Mwana.. The list goes on.
Hawa ni manabii wa kale
 
Wewe ndio umepotoka.... Injili ya yesu agano jipya imeandikwa na Mathayo, Luka na Yohana ambao kimsingi ni wanafunzi wa Yesu na walikuwa nae nyakati nyingi na Biblia inasema hivyo

Kijana uje na facts za maana
MKuu kila siku nawaambia watu kuwa Kwenye ujana Nishatoka..
Sasa Twende kwenye Facts..

Luka

Luka hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu..
Ngoja nikujuze kuhusu Luka na uandishi wa Agano jipya..

Luka alikuwa mwanafunzi wa Paulo na Daktari wake pia..
Ni daktari wa Paulo aliyempemda sana na hata kwenye Nyaraka zake aliwahi kumtaja na hakuna mahali popote Luka ametajwa kama mwanafunzi wa yesu..

Wakolosai 4:13-15

"Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili ya hao walioko Laodikia, na kwa ajili ya hao walioko Hierapoli.

Luka, yule tabibu mpendwa, na Dema, wanawasalimu.

Wasalimuni ndugu walioko Laodikia, na Nimfa, na kanisa lililo katika nyumba yake."



hata Luka mwenyewe Anathibitisha kwamba hakuwahi Kushuhudia Alichofanya Yesu halafu wewe unamuita Luka eye Witness Huoni kama Unawaongopea watu????

biblia inasema wapi kuwa Luka alikuwa Na yesu??

Luka 1:1-3


"Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,

kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,

nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,"




TUANZE MA HAPO KWA LUKA KWANZA KABLA HATUJAENDA KWA HAO.WENGINE MAANA HAO WOTE HAWAKUANDIKA HATA MMOJA BIBLIA
 
Hayo unayoelezea ni mambo ambayo mtoto wa Sunday school.anaweza kukujibu na anayajua naijua biblia Nimesoma Theology nimehubiri Biblia Nimeitumikia Biblia..

So naijua Biblia vizuri sana,Licha ya kuijua na nimeuchambua kwa Herufi zote Hebrew and Greek..

Narudia Tena hakuna Mwandisho yoyote Wa biblia Aliyetajwa kati ya Luka, Marco,Mathayo,Yohana..

Ameclaim Authentification of any Gospel..
Hii ndo ilikuwa Research yangu mwaka wa Tatu kwenye Course ya Bible NT Textual Analysis..

Kuhusu Kuprove authentification By textual analysis..
so nakularibisha Mkuu maana ni miaka mingi imepita Ila Ninakumbula Research nzima na jinsi ilivyobadili mtazamo wangu wote wa niliyowahi kusimuliwa..
 
Mkuu, kwani Muhammad ni mtume wa kikristo?

Hakuna asiyefahamu ukimzungumzia Muhammad unazungumzia uislam.

Na ukisema Muhammad amesema, moja kwa moja unazungumzia uislam.

Sasa wewe unasema Muhammad amesema hivi; halafu uthibitisho unautoa kwenye biblia? Kweli kabisa?
 
Unbelievers are enemies of Allah and they will roast in hell. - 41:14

Kama alisema ukweli kwa nini hapa aagize tena wauawe?

Fight unbelievers who are near to you. 9:123

Jibu rahisi sana, hizo aya zimeshukwa kwa minasaba tofauti. Rejea tafsir Ibn Kathir Lakini sura uliyo inukuu yaani sura ya 41 aya 14 inasema hivi :

14. Walipo wajia Mitume mbele yao na nyuma yao wakawaambia: Msimuabudu ila Mwenyezi Mungu! Wakasema: Angeli taka Mola wetu Mlezi bila ya shaka angeli wateremsha Malaika. Basi sisi hakika tunayakataa hayo mliyo tumwa. {Fussilat : 14}

Anasema Allah mtukufu :

123. Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu. {At-Tawbah : 123}

Hii aya inaongelea mlango wa Jihadi. Hii aya ilikuwa inaongelea katika uwanja wa vita.
 
Nimeshasema mara kadhaa mathayo ni mwanafunzi wa Yesu, sasa wewe ni mwanafunzi alafu ushindwe kumuona mwalimu wako.... Sio alimuona tu, bali alitembea nae na kula nae

Ebu uliza swali lenye mantiki
Swali langu linataka uthibitisho ya kuwa alikuwa kweli ni mwanafunzi wa Yesu ? Katika wale wanafunzi 12 wa Yesu Matayo alikuwa ni miongoni mwao ?
 
Ndio fix hizo sasa.
.
 
Hiki ndicho nilikiandika kwenye kot yangu pili. Niliijua utasema hivyo ndiyo maana nikakuambia tujadili kupitia quran. kati ya manabii laki moja na 24 ni nabii yupi aliwaisema Mungu hana mwana ?.
Lete ushahidi wa makandiko, ni Muhammad tu alafu mbaya zaidi anawahubiri wakristo ambao wameshaonywa kabla ya ujio wake. Mpinga Kristo ni yule anayesema Mungu hana mwana kinyume na manabii wote waliotangulia.
gut ya Muhammad na Waislam kuwa Mungu hana mwana iko beyond na fikra za binadamu.
 
Reactions: 511
Kijana natamani sana uelewe swali langu nililo kuuliza. Hao wengine hawakumuona Yesu iweje wawe wanafunzi wa Yesu ?

Wapi Matayo au Marko au Luka alinukuu toka kwa Yesu moja kwa moja ? Hapo hakuna mwanafunzi wa Yesu.

Swali langu liko pale pale, nitajie Wanafunzi 6 ambao walinukuu kwa Yesu moja kwa moja.

Kingine hapo hakuna Mtume hata mmoja, unajua maana ya neno Mtume ? Au unalitumia tu kimazoea ? Mtume hupelekwa kwa watu ambao imani sahihi ilipotea pakatamalaki ushirikina. Sasa iweje Yesu awe Mtume na hao unao dai ni wanafunzi wake wawe Mitume vile vile.
 
Nini kilitokea mpka ukajikuta huku uliko?
Nilishahadithia.Zaidi mara 100 Humu Jf sasa ni too.much..
Kiufupi Nilikuwa Mwanatheolojia wa kikristo, Nikawa Muislam, nikawa Judaism but Nilikuja kugundua Muslimu na Wakristo wanafanana Kwa 80% ...
Ila wako tofauti na wayahudi kwa 100% kwa kila kitu ibada na hata tafsiri ya biblia..

Sizungumzii Tafsiri as "Translation" nasungumzia as "Interpretation"

Baada ya kusoma Dini nyingi na kupita kwingi mpaka hinduism ambayo ndo ilikuwa ya mwisho nikagundua Dini ni moja tu "Upendo"

Maana kila mmoja kati ya Hizo dini ana theology yake na ilo tofauti 95% na ya Dini nyingine
 
Reactions: 511
Nikikuletea kutoka kwenye Qur'an utasadikisha?
 
Kama umeona yeye hajawataja si umtajie wewe kuliko kurudia swali moja kila mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…