Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

Hapo marepublican washaona biashara kubwa so wanataka shea tu hamna lingine zaidi, fitna za maslahi binafsi
ingia tiktok andika hashtaq ya Xi Jinping halaf mponde , watafuta hiyo comment mapema ila hashtaq ukimponda kiongoz wa west , comment inaachwa , tiktok imekaa kisiasa zaid sio app ya kuachwa popote pale
 
Sheria za kipumbavu kama ya Marekani ni kujitoa tu
Kama zilivyo sheria za kichina eti ni kweli makampuni ya kimagharibi yanayoendeshwa shughuli zake yanatakiwa (wanalazimishwa) kushea teknolojia na wazawa
 
balance of power huipat kwa kuvamia Taiwan au Ukraine bali ni kuwakusanya wanyonge kwa ushawishi

  • BRI (Belt and Road Initiatives hii ni worldwide)
  • BRICS (Hii ni worldwide. Inazidi kupata ushawishi na new member countries wanataka kujiunga)
  • FOCAC (Forum on China-Africa Cooperation)
  • CASCF (China-Arab States Cooperation)
  • SCO (Shanghai Cooperation Organisation. China, Eurasia countries)

  • China-LAC Summit (China Latin America Summit)

  • ASEAN-China SOM-DOC (China, South East Asian countries)

  • China-Central Asia Summit (China, Kazakhstan, Turkimenistan, Kyrgyzstan, Uzbekistan & Tajikistan)
 
The thread should be tied
 
Hawawezi ushindani hao. walianza figisu kwa Huawei, ZTE nk.

Sasa hivi na magari ya umeme kutoka China kodi ni 100%.

Keshokutwa watakuja kudai boxer au chupi kutoka china zinakusanya intelligence.😂
Chupi zinakusanya mbona
Wewe tuuu, ndio ujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…