Ishu kubwa sio kuwa na uhusiano na serikali ya china au lah,
Kwa wenzetu, hakuna kampuni kubwa yoyoye isiyokuwa na mkono wa serikali kuanzia kwa U.S, China Russia na kadharika
ishu ya Tiktok, inawezekana ni sababu U.S Intelligence agencies zikawa zinataka ziwe na access ya user data, ndio maana wanataka source code. Kwa wenzentu taarifa za watumiaji ni mtaji hasa kwenye R.D na n.k
Ishu za facebook na whatsapp china ni the same, hawakufukuzwa, ila waliambiwa waweke server china na serikali iwe na access ya hizo data, Meta (obvious nyuma yake kuna maelekezo ya serikali ya US) walikataa hayo masharti,
Kama ishu ni Tiktok kuwa na ushirika, kwanini wanataka share ziuzwe kwa raia, wa U.S, simple sababu share holder anakuwa sehemu ya umiliki na atapewa access ya data na vitu nyingine,