Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Ni tabia chafu sana na masikitiko, both kwake huyo dada na kwako.
Eneweiii, so baada ya kumkula, ukamchangia na send off yake au ilikuwaje?
 
Labda hizo pilikapilika ndiyo purpose watu wanatafuta, wapate something to live for.
Unakuta kabisa mtoto anajibizana na mzazi na kutukanana.

Watoto wakishaoa na kuolewa wanakuacha peke yako. Kama hukuweka akiba yako binafsi ya kukutunza uzeeni. Hapo ndio utajuta kwa nini ulizaa.
Hii ya kuzaa ili kuja kutegemea watoto wako uzeeni ni swala la kibinafsi sana.
Unawaza hizo pesa za kuwalea bora hata ungesafiri duniani.
Kupanga ni kuchagua, safiri au zaa ila kama una resources za kutosha, unaweza kufanya both!
 
Namba nimeanza kuisoma mbona.. Tena naisoma kwa kirumi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na bado, huo ni mwanzo tu, subiri umri ukifika tarakimu 2, utaanza kuelewa hata wazazi wako wala hawakua na shida πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kuoa mke mmoja ni kutaka ufe kabla ya umri wako..... Oa wawili iwe kama defensive mechanism!!
Hapo ndipo amani kwa mwanaume itapatikana, kuoa mmoja n mtego mkali sanaπŸ€”πŸ€”πŸ€”
Sawa, kazi kwao wanaoweza uke wenza!
 
Umeongea kitu cha maana sana. It goes both ways. Aaah wapi. Unakaa upande mmoja sana. Some people change. Halafu hiyo dhana yako ya "non-negotiables" ina uwalakini. Mahusiano yanahusisha compromise kwa sehemu kubwa.
 
Subutu!! Mimi sasa hivi nina miaka 26 katika tasnia hii ya nyeto, lakini Kila iitwapo Leo nguvu za kiume ndo zinazidi kuongezeka hadi natamani kuwhotspot wale wanaopungukiwa nazo.
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeongea kitu cha maana sana. It goes both ways.
Aaah wapi. Unakaa upande mmoja sana. Some people change. Halafu hiyo dhana yako ya "non-negotiables" ina uwalakini. Mahusiano yanahusisha compromise kwa sehemu kubwa.
kucompromise ni muhimu sana kwenye relationship... that's why watu wawili wenye ego kubwa ni ngumu sana kudumu kwenye relationship yoyote (iwe ya kirafiki, kibiashara au kingono)

Lakini pamoja "kucompromise" ili ku-accomodate each other, pia huwa sio mbaya kila upande uliopo kwenye mahusiano ukachora mstari/mipaka (ili kujilinda) na pengine hapo ndo zinaweza kuibuka hizo "non-negotiable terms" kwa kila upande.
 
Kutokumuamini Binadamu yeyote hapa chini ya jua kuanzia mama, baba, mtoto,mme/ mke, kaka, dada, na wengine wanaofuata ( miyeyusho kichizi) ...I trust myself
Ila lazima ushirikiane na wengine ili mambo yako yaende. Na ili upate ushirikiano wa wengine lazima angalau uigize unawaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…