Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

Unasubili ndio nini? Hata kuandika Mwanamke huwezi sasa nani atakuoa, au utaishia kudanga[emoji23][emoji23][emoji23]

Tafuta danga akununulie hata simu utoke kwny TECNO [emoji23]
Ubongo wa masikini siku zote uko hivo[emoji16] unatafuta sababu kwanini huwezi kufanya jambo fulani ili aendelee kujifariji kwenye lindi la umasiki[emoji3]
 
Mkuu uko sahihi,mwaka huu nimeangalia kwenye zao la mahindi aisee faida ni kubwa kuliko mtaji,kitu ambacho ni tofauti sana kwenye zao la Parachichi,mtaji tembo pesa swala.
 
Wewe unafikiri zile success story huwa ni ukweli? Hakuna kitu pale zinapikwa tu ili kumotivate watu.

Tulime zetu mahindi tu.
Mahindi yanalipa sana,sema tu miaka ya nyuma soko ndo ilikuwa tatizo lkn kwasasa,mambo ni bam!bam!.
 
Mahindi yanalipa sana,sema tu miaka ya nyuma soko ndo ilikuwa tatizo lkn kwasasa,mambo ni bam!bam!.
Tukumbuke mazao yalikuwa bei chini miaka mitatu mfululizo 2019,2020,2021 Utawala uliopo, hsli ya hewa na mihemko ya wakulima husababisha mabadiriko ya bei.
Mwka juzi watu wametajirika na vitunguu, mwaka jana wakulima wakahemka kulima vitunguu vikajaa sokoni wakatelekeza vitunguu mashambani.
Mwezi huu vitunguu bei mbaya vitano sh500.
Bei hazina guarantee hivyo tuwe wajanja kusoma majira na mihemko ya wakulima.
Nimetokea kuyaamini sana mazao ya kudumu japo bei zinayumba ila shamba linaweza kumlea mtu hadi uzeeni.
Kama parachichi ni ghali panda hata milimao, miembe ya asili, machungwa, miwa, ndizi, chikichi, nazi, mapapai.
Tukumbuke sisi ndio tutakuwa wazee hspi baadae je nini vitatulea.
 

Idiotic post, unafanya kilimo kwa kupiga simu unadhani utatoboa. The result is to come here and post nonsense.
 
Mkuu hongera kwa input yako,hapo ukiona mtu analalamika bei ya mazao ujue hakuna mkulima hapo ila kuna dalali wa mazao.
 
mkuu una IQ kubwa sana, big up!
 
Mkuu umenena vizuri sana aisee. Nilitaka kujitwist huko, hebu nifuatilie kwanza maana hii Hali inatishia sana. Bora nipande miti ya mbao tu. Maana naona wazi kabisa italeta taabu.
 
Nani alisema kilimo ni chepesi?

Ndiyo maana benki za biashara hazitowi mikopo ya kilimo.

Kilimo siyo ndoto au betting.
 
Mkuu Kuna kitu umeongea hapa, naona unaifahamu nacho sana. Ufafanuzi hizo certificates zinapatikana wapi kiongozi.
 
Mkuu haya mambo magumu kuyaelewa. Tikiti ni pasua kichwa kinomaa. Hesabu za daftari ngumu kuzifikia, japo linahela, kimtindo siyo mbaya ilimradi upate shambani.
 
Tikiti gani uuze hapa Bongo upate Mil 20? [emoji23]

Walianzia mbali Mimi huwa siwasikilizi hata, Mara ufugaji Sungura, Ufugaji wa samaki, Kilimo cha parachichi, tikiti maji, kilimo cha Vanila...then hawakupi kbs soko la uhakika na bei exactly
Wee endelea kula ugali kwa dada yako yaani unataka wakupe soko kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…