Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
- Thread starter
- #201
Usibishane na ukweli ,toka nje ya box acha UFIA DINIPole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usibishane na ukweli ,toka nje ya box acha UFIA DINIPole sana
Umeokoteza tuvitabu huko mtandaoni eti Roma ianzinshe uislam wakati wenyewe bado wanajitafuta biblia haiwatoshi washike ipi. Yaan ni sawa na Ng'ombe aumbe mtu kamili uliona wapi? Bro relax Muhammad kaja kuendeleza uislam na kumodify sheria alizoacha Yesu. Nyinyi hamujui lolote kuhusu uislam ndio maana mmekazana na uislam wa mwaka 600ADUislamu umeanzia kwa Muhammad mwaka 600AD , hata majini na Shetani walisilimishwa na Muhammad View attachment 2612911
Jenga Hoja acha malalamikoNa shida inayowatesa nyie vikanisa vinavyozuka na kupotea ni umoja wa kanisa katoliki,mkijitazama mmeshindwa kuwa kitu kimoja basi mnalazimisha na ukatoliki usambalatike.
Umeokoteza tuvitabu huko mtandaoni eti Roma ianzinshe uislam wakati wenyewe bado wanajitafuta biblia haiwatoshi washike ipi. Yaan ni sawa na Ng'ombe aumbe mtu kamili uliona wapi? Bro relax Muhammad kaja kuendeleza uislam na kumodify sheria alizoacha Yesu. Nyinyi hamujui lolote kuhusu uislam ndio maana mmekazana na uislam wa mwaka 600AD
Wewe hujui kitu na utaondoka kapa kwakua umekuja kudhihaki
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Yaani mnachekeshaga Sana mnapodai BIBLIA imetiwa mikono hivo Quran ndio imekuja kurekebishaWayahudi wametajwa sana kwenye Quran kwa kuwa wanasifa zifuatazo:
1.nijamii ambayo imepewa elimu kwani asilimia zaidi ya 90 ya mitume wa muungu waliokuwa wanatoka kwenye jamii ya uyahudi.
2. Kutokaana elimu waliopewa walitarajia kuwa mtume wa mwisho pia atatoka kwenye jamii yao, lakini Allah hakumtoa mtume huyo kwenye jamii yao, na hivyo kupelekea kuwa na chuki kubwa kwenye vifua vyao, na katika kutekeleza chuki zao wapo tayari kushirikiana na kila jamii kuhakikisha kuwa binaadamu hawamfuati mtume sahihi ambao wao hawamkubali kutokana tu hatoki kwenye jamii yao. Ndio maana Quran imewazunguza sana ili kumfahamisha Muhammad na watu wafuasi wake kuhusu ubaya wao, na katika hili ni rahisi mara 100 kumkuta mkiristo au anaeabudia asiekuwa muungu kuingia kwenye uislam kulinganisha na wanaojiita wayahudi.
3. Wayahudi kwa kuwa niwatukutu, ndio maana wakapatiwa mitume wengi hata hivyo walikuwa wabishi na waliwauwa baadhi ya mitume wao, vile vile walitaka kumuuwa Jesus,(jesus vile vile ni myahudi) lakini Allah akamlinda na akafananishwa mmoja wa waliokusudia kumuuwa sura ya Jesus na Allah akamchukuwa Jesus kumpleka mbinguni.
Kiufupu Qur an imesimulia karne zilizopita ambazo kwa kiasi kikubwa zilitawaliwa na historia ya mitumei iliotoka kwenye jamii ya kiyahudi
Kwahiyo wewe unaunga mkono machafuko na watu kuuana.?Jenga Hoja acha malalamiko
Baada ya kushambuliwa kwa ubalozi wa Marekani mjini Benghazi na kuuawa kwa aliyekuwa balozi wa Marekani nchini Libya kutokana na hasira za waumini wa kiislamu zilizotokana na kutolewa kwa sinema inayomkashifu SAW Mohammad (Innocence of Muslims),
Fr. Federico Lombardi msemaji wa Vatican alitoa matamko na kusema kwamba:
“profound respect for the beliefs, texts, outstanding figures and symbols of the various religions is an essential precondition for the peaceful coexistence of peoples”
akiwa anamaanisha kwamba ili pawepo na amani kwa watu, kunatakiwa pawepo na kuheshimu imani, maandiko pamoja na alama/nembo mbalimbali zinazotumiwa na dini kama utambulisho wao.
Kwa nini pawepo na mfululizo wa mijadala kati ya Al-Azhar University na Vatican; serikali ya Iran na Vatican na hata serikali ya Saud Arabia na Vatican?View attachment 2612925View attachment 2612926
Pangua hoja kwa hoja badala ya malalamiko.Kuna wenzio karne nyingi wamepigana na kanisa katoliki wameshindwa,wewe upo kwenu kinyerezi na techno yako unapiga kelele hapa.
Wapi umelalamikiwa wee msabato?Pangua hoja kwa hoja badala ya malalamiko.
Kama ulichokiweka ndio ushahidi wako basi nihitimishe kwa kusema huna hoja wewe ni empty set bora ukajadili mambo ya Arsenal .Soma pia historia
Ulishajiuliza kwanini nje ya QURAN huwez kupata uthibitisho wa kiakolojia ,au wa kisayansi kuhusu Uislamu
Uislamu Ni dini iliyoanzishwa mwaka 600 AD , Na Roman Catholic wakimtumia Muhammad
View attachment 2612804
Ukotoliki na ukiristo ni ushirikina wa wazi kwa hiyo ni mbigu na ardhi na uislamu ambayo ni kumpwekesha Mola mlezi pekee pasi na kumshirikisha.1. Jitahidi kuandika vizuri.
2. Punguza Dharau na Matusi.
3. Kuwa mtu wa Kusoma sana na kufanya Tafiti.
ALIYELETA ANDIKO HILI SI MJINGA.
NANI ASIYEJUA VATCAN KUANZISHA ISLAMIC???????!!!!!!!!!
Ukotoliki na ukiristo ni ushirikina wa wazi kwa hiyo ni mbigu na ardhi na uislamu ambayo ni kumpwekesha Mola mlezi pekee pasi na kumshirikisha.
Wewe kiazi wakati mwingine una kopi na kupaste vitu bila tafiti ndio wa kunishauri mimi kusoma na kufanya tafiti ? nikufahamishe tu nina soft copies ,hard copies,audio books na documentary videos kuhusu tafiti ,history,mambo yaliyojificha(nyuma ya pazia ) na current issues kuhusu mambo mbalimbali .
Hata nikiwa natembea naplay audio book ,nikichoka kusoma naplay video kwa kila siku natumia masaa hayapungui matano katika kuchukua maarifa katika dini na nyanja mbalimbali.
Kwa ufupi ni kuomba na kutegemea kingine baada ya Mwenyezi Mungu au kuomba Mwenezi Mungu pamoja na wengine kwa wakati mmoja katika mambo ambayo haustahili kuombwa mja na hana uwezo nao isipokuwe yeye mifano ;Ushirikina ni nini??
Mwenyenzi Mungu yupu wewe unayemuongelea?Kwa ufupi ni kuomba na kutegemea kingine baada ya Mwenyezi Mungu au kuomba Mwenezi Mungu pamoja na wengine kwa wakati mmoja katika mambo ambayo haustahili kuombwa mja na hana uwezo nao isipokuwe yeye mifano ;
1.Mimi nije niungame nitubu dhambi zangu kupitia wewe wakati hayo ni mamlaka ya Mwenyezi Mungu pekee.
2.Kuamini kwamba kiumbe /mtu au kitu chochote ndicho chenye uwezo wa kukupa mabalaa na kukuponya .Kama kusema "Ewe Maria .............." ,"Ahsante Yesu ilibaki kidogo gari linigonge "
3.Kuweka mtu wa Kati baina ya mja na Mwenyezi Mungu ,mfano hauwezi kufanikiwa au maombi yako kujibiwa mpaka uende kwa fulani (Priest nk)
4.Nk
Asiyekuwa na mwana ,Mwenye kuundesha ulimwengu wote ,kuleta Mvua, jua giza ,aliyemuumba Adam na mwenye kukusanya sifa zote za ukamilifu.Mwenyenzi Mungu yupu wewe unayemuongelea?
Dini tofauti si zina miungu tofauti? Au mungu ni mmoja kwa dini zote??
Nimevisoma ndiyo maana nakutaka uweke ushahidi.Nenda kasome hata Vitabu vya Maisha ya Muhammad vya Sheikh Farsy ,kasome historia
Waraq , na Bi Khadija walikuwa dini gani kabla ya kukutana na muhamad hasa Khadija ndiye wakwanza kusilimu
Unajua alitoka dini gani
Hakuna muislamu asiyejua hili
Kungekuwa hakuna dini isipokuwa ukiristo mimi nahisi asilimia 100% ningekuwa naishi kwa mfumo wangu mwenyewe maana ukiristo nimeuchunguza kwa muda mwingi na kuona haufai hata kidogo kuwa mfumo wa maisha ya mwanadamu ,kuanzia itikadi ,ibada ,mfumo wa maisha ya kila siku ,maombi ,waumini wake nk.Mbona unania attack ? Acha mihemko kaa ujifunze utaelewa kwanini Uislamu sio njia sahihi
Mbona unania attack ? Acha mihemko kaa ujifunze utaelewa kwanini Uislamu sio njia sahihiKama ulichokiweka ndio ushahidi wako basi nihitimishe kwa kusema huna hoja wewe ni empty set bora ukajadili mambo ya Arsenal .
Yani unakopi na kupest ushahidi uchwara uchwara bila kufanya tafiti ?nianze na hiyo dome of the rock huo sio msikitini kabisa kwa hiyo ni makosa kuchukua jambo waliojiamulia watu kuhusisha na uislamu kama ambavyo inafanya kwa alama ya nyota na mwezi .
Fafanua how islam allied with Hitler na hiyo salvation by works ?