Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

nikiona nyuzi kama hizi huwa nacheka sana hahahahaa
 
Wacha kuandika vitu vya kusadikika..

CAG alishaikabidh Report yake muda mrefu kwa mheshimiwa Rais na ilishakabidhiwa kwa Speaker wa bunge

Ww uko dunia gan?

Teh teh teh..kwaiyo kumbe hujui hata unachokiongea?

Pole sana hebu kaaa chini kwanza
Mkuu ripoti iloenda kwa rais ilikuwa haina nataka za board,rais akirudishwa ndo maana wangwe aliikuta na kujadili upya,spika hajapewa ila November atapewa na itatinga bungeni baada ya PAC ukipitia,wait an see acha kelele
 
Sasa unawatetea watu eti wapumzike wakati wao wenyewe bado wanataka kufanya kazi, kama kweli wanataka kupumzika mbona JK alikubali ukuu wa chuo? mbona Dr. Dau alikubali kuteuliwa ubalozi?
Hiyo ni wazi hawa watu inabidi wabanwe wafanye kazi ikiwa ni pamoja na kuyabeba walipoharibu! Politics bwana.
 
Kwahiyo Dr. Kyarara kadanganya umma?
Kweli mwizi lazima awe na timu ya kumtetea.
 
Mwapamba naye mbunge nilikuwa sijui
Hvi kuna mtu ameifanyia kazi hii nchi kama Kitily wa TRA? Yeye yuko wapi sasa hvi?Haki sawa kwa wote
 
Mbona kama unataka kulia?? Hahaha

Tusubiri Dau arudishwe nchini aende kwenye mahakama ya Mafisadi...
 
Mkuu we muongo hivyo,Nssf imepata hati safi?labla hati emetia wewe na sio Asad
 
Ha ha ha ha

Jaman hebu acheni umbumbumbu

Wewe unadhan CAG anaweza akakabish Report yake kwa Mh Rais ili hali haijakamilika?

Na Mh Rais aikabidh kwa speaker bila kukamilika hivyo hivyo?

Huko shule jaman mmekuwa mnasoma vitu gan?

Watu wa ajabu sana
Mkuu ripoti iloenda kwa rais ilikuwa haina nataka za board,rais akirudishwa ndo maana wangwe aliikuta na kujadili upya,spika hajapewa ila November atapewa na itatinga bungeni baada ya PAC ukipitia,wait an see acha kelele
 
Jamani kwani Kikwete katajwa?huyu jamaa ataweza kusaidia utumbuaji,yani anataja na wasiokuwepo kwenye tego
 
Nafikiri issue kama haina ukweli itaisha tu! haina haja ya kutokwa povu...
Muda ni hakimu wa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…