ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kuna njia nyingi za halali za kupambana na umasikini lakini usiweke roho yako rehani. Utaishi maisha mabaya sanaMkuu umasikini laana,umasikini ni shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna njia nyingi za halali za kupambana na umasikini lakini usiweke roho yako rehani. Utaishi maisha mabaya sanaMkuu umasikini laana,umasikini ni shida
Mkuu umasikini ni laana nipe connection nile bata kwa mrijaYeah kafara ipo mwenyewe nataka niende kumwambia mganga anibadilishie masharti sahivi ananipa dawa ya kuua kwa kutega mlangoni, naona inachelewesha nataka aniruhusu niwanyonge kwa mikono mwenyewe.
Utajiri wandagu sio mzuri tafuta utajili kwa maarifa na juhudi.Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.
Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?
Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hili wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu.
Asante kwa kuwakilisha, wazee wa muongozo kujeni.
[emoji3][emoji3][emoji3]Yeah kafara ipo mwenyewe nataka niende kumwambia mganga anibadilishie masharti sahivi ananipa dawa ya kuua kwa kutega mlangoni, naona inachelewesha nataka aniruhusu niwanyonge kwa mikono mwenyewe.
Acha porojo wewe. Wewe ndio una pepo la kimaskini na la ngono zembe, anza kuyaambia hayo yatoke kwanza. [emoji706][emoji706]
Unamaanush Ka Bush Dokta ?Kuna ka'ID nimekaona humu kanafanana na ID yangu, ebu ngoja nianze kukafuatilia polepole tuone...😋
Nilivue vipi hili gamba la nje niwe katika uhaUtajiri wandagu sio mzuri tafuta utajili kwa maarifa na juhudi.
Na maarifa makubwa yapo ndani mwako hapo.
Nipale utakapo weza kulivua hilo gamba lan'je nakua wewe katika uhalisia.
Ningumu sana kunielewa
Sana,sana,sana.
Hivo acha nilicho kiongea ibaki kua ni ndoto,movie na ukosefu wa elimu yachuo kikuu uingereza.
Mkuu nipe hii siriWatu hutaka utajiri lakini hawapo tayari na wengi niwaoga kupita kiasi.
Kunammoja aliwahi nifuata inbox nimpe mbinu za utajiri nilimpa yakwanza kama mfano kidogo ila alishindwa.
Ndugu zangu swala lakupata mali au maarifa na siri za mali zipo ndani mwako pia ila yataka uwe jasiri sana kuuacha huo mwili wanyama nakuvaa mwili mwingine.
Nabaada yahapo nikwenda masafa mareefu sana kuuendea huo utajili na maarifa.
Ijapo kua haunamasharti yakudhuru chochote ila nikujitoa wewe mwenyewe kafara
UJASIRI MKUBWA SANA.
Nitumie namba yako dm tuma namba tuu bilamaelezo yoyote mimi nintakutafuta nikipata mdamzuri.Mkuu nipe hii siri
Sikushauri tena kataa hiyo ROHO ni chafu itakuharibuMkuu niunganishe nipate kuthibitisha hiki unachosema
Nichek mm natafuta hiyo.Watu hutaka utajiri lakini hawapo tayari na wengi niwaoga kupita kiasi.
Kunammoja aliwahi nifuata inbox nimpe mbinu za utajiri nilimpa yakwanza kama mfano kidogo ila alishindwa.
Ndugu zangu swala lakupata mali au maarifa na siri za mali zipo ndani mwako pia ila yataka uwe jasiri sana kuuacha huo mwili wanyama nakuvaa mwili mwingine.
Nabaada yahapo nikwenda masafa mareefu sana kuuendea huo utajili na maarifa.
Ijapo kua haunamasharti yakudhuru chochote ila nikujitoa wewe mwenyewe kafara
UJASIRI MKUBWA SANA.
Hayo mambo ni kweli yapo ila gharama zake hazilingani na utajiri huo ni afadhali ukalime uvune gunia mbili kwa mwaka ukiwa na amani na uhuru wako alokuumbia Mungu!Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.
Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?
Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu.
Asante kwa kuwakilisha, wazee wa muongozo kujeni.
🙏🙏Nichek mm natafuta hiyo.
Hiyo ya kuvaa shati moja kila siku rahisi sana.
Unakuwa na kampuni yako labda ya usafirishaji, unashonesha sare za kampuni kisha unachukua yako moja sawa na wafanyakazi unatupia mpaka ichakae.
Hakuna atakayekushangaa.