Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Yeah kafara ipo mwenyewe nataka niende kumwambia mganga anibadilishie masharti sahivi ananipa dawa ya kuua kwa kutega mlangoni, naona inachelewesha nataka aniruhusu niwanyonge kwa mikono mwenyewe.
Mkuu umasikini ni laana nipe connection nile bata kwa mrija
 
Watu hutaka utajiri lakini hawapo tayari na wengi niwaoga kupita kiasi.
Kunammoja aliwahi nifuata inbox nimpe mbinu za utajiri nilimpa yakwanza kama mfano kidogo ila alishindwa.
Ndugu zangu swala lakupata mali au maarifa na siri za mali zipo ndani mwako pia ila yataka uwe jasiri sana kuuacha huo mwili wanyama nakuvaa mwili mwingine.
Nabaada yahapo nikwenda masafa mareefu sana kuuendea huo utajili na maarifa.
Ijapo kua haunamasharti yakudhuru chochote ila nikujitoa wewe mwenyewe kafara
UJASIRI MKUBWA SANA.
 
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.

Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?

Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hili wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu.

Asante kwa kuwakilisha, wazee wa muongozo kujeni.
Utajiri wandagu sio mzuri tafuta utajili kwa maarifa na juhudi.
Na maarifa makubwa yapo ndani mwako hapo.
Nipale utakapo weza kulivua hilo gamba lan'je nakua wewe katika uhalisia.
Ningumu sana kunielewa
Sana,sana,sana.
Hivo acha nilicho kiongea ibaki kua ni ndoto,movie na ukosefu wa elimu yachuo kikuu uingereza.
 
Yeah kafara ipo mwenyewe nataka niende kumwambia mganga anibadilishie masharti sahivi ananipa dawa ya kuua kwa kutega mlangoni, naona inachelewesha nataka aniruhusu niwanyonge kwa mikono mwenyewe.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Utajiri wandagu sio mzuri tafuta utajili kwa maarifa na juhudi.
Na maarifa makubwa yapo ndani mwako hapo.
Nipale utakapo weza kulivua hilo gamba lan'je nakua wewe katika uhalisia.
Ningumu sana kunielewa
Sana,sana,sana.
Hivo acha nilicho kiongea ibaki kua ni ndoto,movie na ukosefu wa elimu yachuo kikuu uingereza.
Nilivue vipi hili gamba la nje niwe katika uha
 
Watu hutaka utajiri lakini hawapo tayari na wengi niwaoga kupita kiasi.
Kunammoja aliwahi nifuata inbox nimpe mbinu za utajiri nilimpa yakwanza kama mfano kidogo ila alishindwa.
Ndugu zangu swala lakupata mali au maarifa na siri za mali zipo ndani mwako pia ila yataka uwe jasiri sana kuuacha huo mwili wanyama nakuvaa mwili mwingine.
Nabaada yahapo nikwenda masafa mareefu sana kuuendea huo utajili na maarifa.
Ijapo kua haunamasharti yakudhuru chochote ila nikujitoa wewe mwenyewe kafara
UJASIRI MKUBWA SANA.
Mkuu nipe hii siri
 
Nichek mm natafuta hiyo.
 
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.

Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?

Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu.

Asante kwa kuwakilisha, wazee wa muongozo kujeni.
Hayo mambo ni kweli yapo ila gharama zake hazilingani na utajiri huo ni afadhali ukalime uvune gunia mbili kwa mwaka ukiwa na amani na uhuru wako alokuumbia Mungu!
 
Ndio kama ile ya mmiliki wa Facebook
Hiyo ya kuvaa shati moja kila siku rahisi sana.
Unakuwa na kampuni yako labda ya usafirishaji, unashonesha sare za kampuni kisha unachukua yako moja sawa na wafanyakazi unatupia mpaka ichakae.
Hakuna atakayekushangaa.
 
Back
Top Bottom