Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Sometimes hata papa naona hana lolote kwenye imani yangu mm Bible ndio mwisho wa kila kitu papa uongozi wake misho Vatican sio kwangu
Umekombolewa Hakika wakatoliki wengi hawasomi Biblia hawawezi jua nini hasa Mungu anatutaka tutende!
Kweli itakuweka huru
 
Ukitaka kuwakimbiza wakatoliki kwenye jukwaa hili waambie wasome Biblia, mtagombana hadi kesho. Ila waambie kubusu sanamu, kusali rozari na sanamu ya bikra maria hapo utakuwa rafiki.
 
Ukitaka kuwakimbiza wakatoliki kwenye jukwaa hili waambie wasome Biblia, mtagombana hadi kesho. Ila waambie kubusu sanamu, kusali rozari na sanamu ya bikra maria hapo utakuwa rafiki.
Wakatoliki gani labda unaowaongelea...?

Unataka kuwa Mkristo...Naona unaranda randa tuuu...
Mimi nipo
 
Wakatoliki gani labda unaowaongelea...?

Unataka kuwa Mkristo...Naona unaranda randa tuuu...
Mimi nipo
Wimbo hauna mwitikiaji huo badilisha tune. Ibada ya sanamu India taxes labda shetani ndo anaikubali upo hapo?
 
Tatizo la wakatoliki wengi wameshika sana mapokeo
Pole sana...msome St. Paul hapa..

2 Wathesalonike 2:15
Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.
 
Weka mistari ya Biblia acha blaahblaah
 
Wimbo hauna mwitikiaji huo badilisha tune. Ibada ya sanamu India taxes labda shetani ndo anaikubali upo hapo?
Inashangaza sana kwa mtu asiye Mkristo mda wote yeye ni kurandaranda kwenye mijadala ya Kikiristo..

Maadam upo nitaendelea kukuuliza iwapo unataka kuingia Kundini....ila Kuwa..

Wasabato hamuamini Utatu Mtakatifu...itawapasa muamini..
Wasabato mnapinga Ufufuko..itawapasa muamini kuwa Yesu ni Mungu.
Wasabato hamuamini Yesu kuwa ni Mungu itawapasa Mkiri kuwa Yesu ni Mungu..

Upo hapo
 
Kweli Mungu azidi kutufungua unaonekana kujisifia kuwa mkatoliki wakati wenzako wanajisifia kwa sababu majina yao yameandikwa kwenye kitabu cha Uzima! Looh

Ukitaka umjue Mungu usimwekee mipaka sijui mie mkatoliki blah blah Nyingi Mara nitazikwa kikatoliki yafaa nini? Muhimu ni kuruhusu roho Wa Mungu atufundishe na kutuongoza jinsi ya kumcha hata tukifa Neema iwe mbele yetu sio kujisifu kwa kubeba mapokeo ya kikanisa.

Tatizo wakatoliki wengi ni wavivu kusoma Biblia unakuta mtu anaenda kanisani hata Bible hana unawaza kanisani haendi nayo? Je hata nyumbani anaweza hata kukumbuka kujisomea Biblia?

Ndo mana tunang'ang'ania mapokeo ya madhehebu mana hatuijui kweli ipatikanayo katika Biblia mana hatusomi Biblia.
 
Wakatoliki msijiangaishe kupoteza muda na hawa wasabato maana akili zao kama waislam, ata umueleze vipi hawazi kukuelewa kwa sababu ya chuki binafsi,, pili walishajiandaa kisaikolojia kubishi tu,

Kama kua msabato ndo kwenda mbinguni basi, wengi tunapoteza muda, kuwepo hapa duniani,, dini yenyewe imeanzishwa na tapeli la kike.
 
Naona unalazimisha nyeupe kuwa nyeusi.unatekeleza uongo wa shetani ambaye ni baba wa huo
 
Angekuwa tapeli wa kiume ungemwamini? Mbona mnasujudia sanamu ya kike?
 
Naona unalazimisha nyeupe kuwa nyeusi.unatekeleza uongo wa shetani ambaye ni baba wa huo
Yote hayo yanapatikana kwenye Biblia ya Kisabato Clear Word Bible...

Kasome kitabu cha Nabii Mke Ellen G White kiitwa 'Investigative Judgement' uone jinsi Nabii Mke Ellen G White alivyopinga Ufufuko wa Yesu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…