Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Sipend na ninachukizwa na uwepo wa sanamu kanisani, mm ni mroma pyua ila vitu vingi mm sivifuati kama kwenda kukaa mbele ya sanamu la bikra maria, kwenywe sanamu la mtoto yesu x mass, na kubusu sanamu siku ya ijumaa kuu
Hayo masanamu ni vitega uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko Parokia ya Mwenye heri Isidori Bakanja, Boko. Hebu njoo nione uwezo wako wa kunizuia.

Maana hata askofu wangu anaujua msimamo wangu na hajawahi kunisema vibaya kama wewe "mtakatifu mbarikiwa"
Bora wewe unajitambua ni haya haya yaliyonitoa huko nilipoanza kusoma biblia mwenyewe badala ya misale ya waumini nikaacha kwenda huko maana niliamini kufuata imani binafsi au msimamo wako tu haitoshi ni sawa na kusafiria boti mbovu ukiamini utafika salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni Ibada ya Sanamu wakati Yesu aliyekuwa amekufa yuko hai.
Kwa nini ni rahisi kudanganywa kwa mambo yaliyonje ya bibilia wakati bibilia mtu anayo mkonono?
Sanamu Nyingi za Italy mwanzoni kabla ya ukatiliki kuwa dini ya Roman empire zilikuwa ni sanamu za miungu ya kirumi na ziliabudiwa. Kilichofanyika ni kuzibadili majina na edititng kidogo. Madona akawa Mary, Apollo akawa Yesu etc.
 
Katholic wamepunguza amri kwanza,pia ilo la sanam za mwanamke alivikwa nguo ya blue,na misalaba wakristo wengi wanazisujudia na kuziheshim sana kuliko Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nachukia dhehebu...sijataja mtu..
uwege unasoma vizur basi kabla hujajibu..
ila hapa kila mtu ana uhuru wa kueleza yake ya moyoni
KAMA NIMEKUKERA AM SOREEE[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hilo dhehebu lako unalolipenda unalipenda kwa vitendo?Kiimani haikusadii chochote kuchukia dhehebu la roma huku hilo la kwako unalolipenda hulitendei haki?
Je unampenda jirani yako?je unasali kwa dhati kwa imani yako?je unasaidia wahitaji?
Haya ni baadhi ya mambo ya msingi kwako hayo ya kuchefuliwa na uroma haukusaidii chochote.
 
Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
 
Ningependa kushauri wote wenye tatizo juu ya kuabudu sanamu wapitie hii post yako.
Ningependa kushauri wote wenye tatizo juu ya kuabudu sanamu wapitie hii post yako.
 

hauwezi kuwa mwisho kwa sababu kuna watu nao hawajaleta ushahidi wao mahakamani
 
mbona povuu tenaaa...halafu hicho kiingereza chako ni cha wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwann uwachukie ??
Jiulize kwanza unayemuabudu ww, ndiye wanaye muabudu wao?
Kama Yesu aliacha amri mpya ya upendo, na hakusema umpende uliyenae dhehebu moja au la, kwann ww unachukia community ya Catholic? Au Haumuamini Yesu??
 
Nimekuwa namsikiliza mhubiri mmoja nadhani ni msabato. Kila mara anarejea juu ya makanisa, anayosema ni waabudu Sanamu na wanaosali jumapili (akiita siku ya jua) badala ya sabato. Nadhani ni wakati muafaka wa kumjibu. Uongo ukirudiwa mara kwa mara wasikilizaji wanaweza kudhani ndiyo ukweli. Wajuzi wa mafundisho ya RC ni wakati sasa wa kujibu
 
Wanakuja
 
Labda nami niweke neno kdg.. je siku ya sabato ya bwana ni lini? Kama ni jmos au jpili bas naomba aya toka kweny biblia. Pia kama unaweza muuliza huyo mchungaj ingekua heri atupe majibu hayo, lingine... Ni nani aliezipa majina cku tulizonazo? Maana kweny maandiko hazijaandikwa jmos au jpili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…