Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Kanisa katoliki Lina kazi moja tu,kububiri injili na kuwaonesha watu njia ya wokovu
Kazi ya kusema nani anasali lini na wapi tumewaachia wasabato.
Mimi hofu yangu ni wale wanaopotoshwa na wakapotea. Yesu aliwahi kusema hata kama una kondoo mia, moja akipotea unaacha 99 na kumtafuta mmoja aliyepotea. Swali la kijiuliza haya makanisa yanayoibuka Kila kukicha wanapata wapi waumini?
 

Every history is interpreted history
 
Are you talking about the church (institution) or a particular church member
 
Kwaufupi , wasabato ni wagonvi. wanatafuta kwa namna yoyote ile ugomvi wa kidini na roman catholic. Ni namna ya mapokeo ya dini yao walivyo pokea kutoka kwa waanzilishi wa hilo dhehebu
 
Wakijibu ntag
 
Kwani mmekatazwa ? Si mualikane huko kwenye Mahekalu yenu muanze kujibizana ?
 
Upo sahihi.

Maisha yangu yote ndani ya Kanisa Katoliki sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa Kanisa akihubiri kulisema vibaya kanisa lolote au Uislam au dini yeyote.

Mimi ninachoamini ni kwamba kila ambaye yupo hapa Duniani ni kwa sababu Mungu ameruhusu. Imani yoyote ambayo ipo hapa Duniani naamini Mungu ameruhusu. Asipotaka, hawezi kushindwa kuifuta.

Wakati yetu akiwa na mitume wake, wapo mitume waliomlalamikia Yesu kuwa kuna watu wengine ambao siyo.miongoni mwao, nao wanahubiri habari ya Mungu na habari zake. Lakini siyo Yesu aliwakanya na kusema kuwa kama kuna yeyote ananena neno la Mungu, hata kama hayupo nao, basi yupo upande wao. Lile ni fundisho kubwa sana.

Muislam anaposema wizi ni dhambi, watu msiibe. Anaposema hivyo, hawezi kuwa adui wa ukristo badala yake anazidi kueneza ujumbe wa Kristo. Yeyote anayeeneza chuki dhidi ya wanaoeneza ujumbe wa Mungu, bila ya kujali dhehebu au dini, anafanya kazi ya shetani. Azidi kuombewa.
 
Hawa hata msalaba hawautaki,sasa tunawasaihdiaje??

Mtu anayeuliza swali anatakiwa awe tayari kujibiwa.
Kuna wakati hata kumtaja Yesu walikuwa wanaona shida. Na huwa hawapendi kuitwa wakristo.
 
Na mchungaji huyo ndo wewe mwenyewe, muadventista maskini, unayejaribu kujustify umaskini wako kwa kuwapa lawama wakatoliki kuwa kwa wao kuabudu sanamu, Mungu anakulaani wewe unakosa hela ya kula.

Ulishawahi kuona sehemu wakatoliki wameweka sanamu wanaliita Mungu na kuliabudu kama Mungu wao?

Musa alipotengeneza sanamu la nyoka na kuwaambia waisrael atakayemtazama yule nyoka atapona, alikuwa anaabudu sanamu?

Kipi bora, kati ya kutenengeza sanamu linalokukumbusha kuwa kuna mtu(binadam mwenye mwili) aliyeitwa Masihi ambaye pengine alifanana hivyo, na kisha kuamini kuwa mtu huyo aliyefanana na sanamu lako, ni hakika alikuwa mwana wa Mungu, na ukakiri kwa kinywa chako na kufuata mafundisho yake AU kufuata mawazo ya mtu mmoja aliyekwaminisha kwamba Jumapili sio siku sahihi ya kusali na akakufundisha kuwachukia wakatoliki halafu mtu akafa kama utakavyokufa wewe?

Shika imani yako, kama ipo sahihi kuliko ukatoliki si ndo safi wewe uende mbinguni wao waende motoni.
 
Mimi hofu yangu ni wale wanaopotoshwa na wakapotea. Yesu aliwahi kusema hata kama una kondoo mia, moja akipotea unaacha 99 na kumtafuta mmoja aliyepotea. Swali la kijiuliza haya makanisa yanayoibuka Kila kukicha wanapata wapi waumini?
Yanapata waumini kwenye ujinga,mtu anayeamini kuwa inatakiwa aombewe ili afanikiwe atatoa wapi akili ya kutambua mafundisho ya kanisa katoliki?
 
Siku zimepewa majina kufuatia ugunduzi wa kalenda na wamisri miaka elfu kadhaa baada ya biblia. Sasa hawa MASALIA wenyewe wamekomaa na majina ya siku wakidhani ndo majina ya Mungu wehu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…