Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelikubali hili jibu[emoji13][emoji13]Kanisa katoliki Lina kazi moja tu,kububiri injili na kuwaonesha watu njia ya wokovu
Kazi ya kusema nani anasali lini na wapi tumewaachia wasabato.
Mimi hofu yangu ni wale wanaopotoshwa na wakapotea. Yesu aliwahi kusema hata kama una kondoo mia, moja akipotea unaacha 99 na kumtafuta mmoja aliyepotea. Swali la kijiuliza haya makanisa yanayoibuka Kila kukicha wanapata wapi waumini?Kanisa katoliki Lina kazi moja tu,kububiri injili na kuwaonesha watu njia ya wokovu
Kazi ya kusema nani anasali lini na wapi tumewaachia wasabato.
Mnaabudu sanamu ya Maria na Yesu
Wakati Amri ya Kwanza imekataa hilo swala
Kama hamuoni yatosha mkaamua kuifuta hiyo amri
The Catholic Church played a vital role in the trans-Atlantic slave trade, according to historians and several published thesiis on the topic.
The trans-Atlantic slave trade was introduced by the coming of the Europeans who came with the Bible in the same manner that Arab raiders and traders from the Middle East and North Africa introduced Islam through the Trans-Saharan slave trade, according to AfricaW.com, a premiere informational website available throughout the continent.
“In fact, the Church was the backbone of the slave trade,” the authors wrote. “In other words, most of the slave traders and slave ship captains were very ‘good’ Christians.”
For example, Sir John Hawkins, the first slave-ship captain to bring African slaves to the Americas, was a religious man who insisted that his crew “serve God daily” and “love one another.” His ship, ironically called “The Good Ship Jesus,” left the shores of his native England for Africa in October 1562. Some historians argue that if churches had used their power, the Atlantic slave trade might have never occurred.e
Every history is interpreted historyThe Catholic Church played a vital role in the trans-Atlantic slave trade, according to historians and several published thesiis on the topic.
The trans-Atlantic slave trade was introduced by the coming of the Europeans who came with the Bible in the same manner that Arab raiders and traders from the Middle East and North Africa introduced Islam through the Trans-Saharan slave trade, according to AfricaW.com, a premiere informational website available throughout the continent.
“In fact, the Church was the backbone of the slave trade,” the authors wrote. “In other words, most of the slave traders and slave ship captains were very ‘good’ Christians.”
For example, Sir John Hawkins, the first slave-ship captain to bring African slaves to the Americas, was a religious man who insisted that his crew “serve God daily” and “love one another.” His ship, ironically called “The Good Ship Jesus,” left the shores of his native England for Africa in October 1562. Some historians argue that if churches had used their power, the Atlantic slave trade might have never occurred.
Are you talking about the church (institution) or a particular church memberThe Catholic Church played a vital role in the trans-Atlantic slave trade, according to historians and several published thesiis on the topic.
The trans-Atlantic slave trade was introduced by the coming of the Europeans who came with the Bible in the same manner that Arab raiders and traders from the Middle East and North Africa introduced Islam through the Trans-Saharan slave trade, according to AfricaW.com, a premiere informational website available throughout the continent.
“In fact, the Church was the backbone of the slave trade,” the authors wrote. “In other words, most of the slave traders and slave ship captains were very ‘good’ Christians.”
For example, Sir John Hawkins, the first slave-ship captain to bring African slaves to the Americas, was a religious man who insisted that his crew “serve God daily” and “love one another.” His ship, ironically called “The Good Ship Jesus,” left the shores of his native England for Africa in October 1562. Some historians argue that if churches had used their power, the Atlantic slave trade might have never occurred.
Church( institution)Are you talking about the church (institution) or a particular church member
But ktk quote unaongelea a religious (mtaawa). Does what apply to a part apply to the wholeChurch( institution)
Kwaufupi , wasabato ni wagonvi. wanatafuta kwa namna yoyote ile ugomvi wa kidini na roman catholic. Ni namna ya mapokeo ya dini yao walivyo pokea kutoka kwa waanzilishi wa hilo dhehebuNimekuwa namsikiliza mhubiri mmoja nadhani ni msabato. Kila mara anarejea juu ya makanisa, anayosema ni waabudu Sanamu na wanaosali jumapili (akiita siku ya jua) badala ya sabato. Nadhani ni wakati muafaka wa kumjibu. Uongo ukirudiwa mara kwa mara wasikilizaji wanaweza kudhani ndiyo ukweli. Wajuzi wa mafundisho ya RC ni wakati sasa wa kujibu
Wakijibu ntagLabda nami niweke neno kdg.. je siku ya sabato ya bwana ni lini? Kama ni jmos au jpili bas naomba aya toka kweny biblia. Pia kama unaweza muuliza huyo mchungaj ingekua heri atupe majibu hayo, lingine... Ni nani aliezipa majina cku tulizonazo? Maana kweny maandiko hazijaandwa jmos au jpili!!
Upo sahihi.Mimi ni mlutheran , lakini watu kupingana na taasisi ya ukatoliki yenye zaidi ya miaka 2000+ ni ujinga kwa haya madhehebu ambayo hayana hata 300 years.. ni sawasawa na kujilisha upepo halafu sijawahi bahatika kusikia kiongozi wa katolik anatoka hewani na kuanza kujibishana na Hawa wenye dini zao. Hata ibada za katolik ni nadra sana kukuta wanapondea dini za wengine.
Kuna wakati hata kumtaja Yesu walikuwa wanaona shida. Na huwa hawapendi kuitwa wakristo.Hawa hata msalaba hawautaki,sasa tunawasaihdiaje??
Mtu anayeuliza swali anatakiwa awe tayari kujibiwa.
Na mchungaji huyo ndo wewe mwenyewe, muadventista maskini, unayejaribu kujustify umaskini wako kwa kuwapa lawama wakatoliki kuwa kwa wao kuabudu sanamu, Mungu anakulaani wewe unakosa hela ya kula.Nimekuwa namsikiliza mhubiri mmoja nadhani ni msabato. Kila mara anarejea juu ya makanisa, anayosema ni waabudu Sanamu na wanaosali jumapili (akiita siku ya jua) badala ya sabato. Nadhani ni wakati muafaka wa kumjibu. Uongo ukirudiwa mara kwa mara wasikilizaji wanaweza kudhani ndiyo ukweli. Wajuzi wa mafundisho ya RC ni wakati sasa wa kujibu
Yanapata waumini kwenye ujinga,mtu anayeamini kuwa inatakiwa aombewe ili afanikiwe atatoa wapi akili ya kutambua mafundisho ya kanisa katoliki?Mimi hofu yangu ni wale wanaopotoshwa na wakapotea. Yesu aliwahi kusema hata kama una kondoo mia, moja akipotea unaacha 99 na kumtafuta mmoja aliyepotea. Swali la kijiuliza haya makanisa yanayoibuka Kila kukicha wanapata wapi waumini?
Kuabudu ni nini?Mnaabudu sanamu ya Maria na Yesu
Wakati Amri ya Kwanza imekataa hilo swala
Kama hamuoni yatosha mkaamua kuifuta hiyo amri