Jmujun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 965
- 525
Jins ulivo ni QUOTE unamaanisha akili unazo lakini huzitumii unatumia kichwa chako kikubwajaribu kukaa halafu uandike vitu vinavyoleweka mkuu sio unakulupuka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jins ulivo ni QUOTE unamaanisha akili unazo lakini huzitumii unatumia kichwa chako kikubwajaribu kukaa halafu uandike vitu vinavyoleweka mkuu sio unakulupuka tu.
Hii lugha Ndugu zangu ilikuja na meli kweli......duuuu (are you what....Wewe pilipili za shamba usizozila zinakuwashia nini. ? Are you want to become a Catholic...??
Pamoja na ku-copy cat kwenye vyo vya habari vya Jikatoliki nikirejea comment zako inaonesha wazi wewe ni mbabaishaji...Sorry kama nimekukwaza but hiyo post ilikuwa inajieleza ndio maana niliandika vile.
Mantiki na maudhui ya nilichotaka kuandika umeelewa...?Hii lugha Ndugu zangu ilikuja na meli kweli......duuuu (are you what....
Msome huyo aliyeleta mada kwenye post zake....mimi nina wasiwasi na hao wanaobeza huenda sio wakatoliki au hawaelewi kidhungu
awe asiwe utajua mwenyewe mkuu hiyo ni juu yako kuukubali ukweli ulioandikwa humo.Hiyo ni web site kubwa inayomilikiwa na Padre mmoja wa Kimarekani...
Nafikiri ni Fr Barron...
Vatican inavyombo vyake vya Habari...Ni sawa na kusema gazeti la Kiongozi lina milikiwa na Vatican
Eti ni wapi umesoma duniani hakuna dini ya kweli..?Kwa mkomavu kiroho hawezi kumwita mtu pepo,wakati mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
I'm papist....awe asiwe utajua mwenyewe mkuu hiyo ni juu yako kuukubali ukweli ulioandikwa humo.
we mkuu sidhani kama umeilewa hii post jaribu kuisoma upya nafikili ulikuwa unabishana na watu tu wakati kilichoandikwa humo kinaukweli.Msome huyo aliyeleta mada kwenye post zake....
Kuna baadhi ya watu alikuwa sided nao mf..Aspirin....
Umesoma na kuelewa kweli yaliyoandika kwenye hiyo article. ????? Nakushauri rudia tena kusoma, kama lugha ni ngumu muombe jirani yako akufafanuliehakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
nilileta ili kuondoa ubishi kati ya wasabato na waroma na sio kwa ajiri ya kubishana au kukomaana Bali kuelimishana tu ili yaweleke vizuri and yes na Mimi ni walewale tu mkuu.Pamoja na ku-copy cat kwenye vyo vya habari vya Jikatoliki nikirejea comment zako inaonesha wazi wewe ni mbabaishaji...
Kwanza ulileta kama vile mlikuwa kwenye mabishano na Wasabato....
Kwa kifupi hata wewe ni wale wale tuu..
Shule za kata bado tatizo. Nashauri mkuu aajiri walimu wa kiingereza kwa wingi.Bible imeandikwa usitengeze sanamu,wala kitu chochote mfano wa Mungu,ukakiweka madhabahuni,ni kosa kubwa sana mbele za Mungu,
Natamani na mimi siku moja nitembelee fatima...Katika moja ya apparitions za mama Maria alisema ilipo sanamu yake ni sawa na kuwepo kwake yeye mwenyewe. Nilizaliwa m-Katoliki na nitakufa m-Katoliki. Ninasali rosary tena raha kukutana na watu wa mataifa mbali mbali mnasali international rosary.
Mkuu Fatima ndiyo inatambulika na kanisa officially lakini kama ni kwa kumpenda mama kuna Lourdes, France kuna moja iko Mexico our Lady of Guadalupe alitokea sehemu nyingi na alitoa ujumbe.Natamani na mimi siku moja nitembelee fatima...
Ipo siku..
Uzuri ni kwamba sibishani na watoto.Huwezi ukawa mkatoliki halafu usiunge mkono ukatoliki. Wewe ni mnafiki mkubwa tu. Hata huko uliko hapakufai kwani hujui unachojua na usichojua.
Hahahahaha... unatamani? Fanya kazi kwa bidii... Mungu atakujalia utatembelea hapo siku moja. Nakuombea ufanikiwe...Natamani na mimi siku moja nitembelee fatima...
Ipo siku..
Nitolee unafiki...Hahahahaha... unatamani? Fanya kazi kwa bidii... Mungu atakujalia utatembelea hapo siku moja. Nakuombea ufanikiwe...
Nakushauri Tafuta Katekisimu Katoliki itakusaidia sana..Uzuri ni kwamba sibishani na watoto.
wewe unajiitA mkristo halafu unachukia tena watu?hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.