Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Sorry kama nimekukwaza but hiyo post ilikuwa inajieleza ndio maana niliandika vile.
Pamoja na ku-copy cat kwenye vyo vya habari vya Jikatoliki nikirejea comment zako inaonesha wazi wewe ni mbabaishaji...

Kwanza ulileta kama vile mlikuwa kwenye mabishano na Wasabato....

Kwa kifupi hata wewe ni wale wale tuu..
 
Hiyo ni web site kubwa inayomilikiwa na Padre mmoja wa Kimarekani...
Nafikiri ni Fr Barron...

Vatican inavyombo vyake vya Habari...Ni sawa na kusema gazeti la Kiongozi lina milikiwa na Vatican
awe asiwe utajua mwenyewe mkuu hiyo ni juu yako kuukubali ukweli ulioandikwa humo.
 
Msome huyo aliyeleta mada kwenye post zake....

Kuna baadhi ya watu alikuwa sided nao mf..Aspirin....
we mkuu sidhani kama umeilewa hii post jaribu kuisoma upya nafikili ulikuwa unabishana na watu tu wakati kilichoandikwa humo kinaukweli.
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Umesoma na kuelewa kweli yaliyoandika kwenye hiyo article. ????? Nakushauri rudia tena kusoma, kama lugha ni ngumu muombe jirani yako akufafanulie
 
Pamoja na ku-copy cat kwenye vyo vya habari vya Jikatoliki nikirejea comment zako inaonesha wazi wewe ni mbabaishaji...

Kwanza ulileta kama vile mlikuwa kwenye mabishano na Wasabato....

Kwa kifupi hata wewe ni wale wale tuu..
nilileta ili kuondoa ubishi kati ya wasabato na waroma na sio kwa ajiri ya kubishana au kukomaana Bali kuelimishana tu ili yaweleke vizuri and yes na Mimi ni walewale tu mkuu.
 
Katika moja ya apparitions za mama Maria alisema ilipo sanamu yake ni sawa na kuwepo kwake yeye mwenyewe. Nilizaliwa m-Katoliki na nitakufa m-Katoliki. Ninasali rosary tena raha kukutana na watu wa mataifa mbali mbali mnasali international rosary.
 
Natamani na mimi siku moja nitembelee fatima...
Ipo siku..
 
Huwezi ukawa mkatoliki halafu usiunge mkono ukatoliki. Wewe ni mnafiki mkubwa tu. Hata huko uliko hapakufai kwani hujui unachojua na usichojua.
Uzuri ni kwamba sibishani na watoto.
 
Natamani na mimi siku moja nitembelee fatima...
Ipo siku..
Hahahahaha... unatamani? Fanya kazi kwa bidii... Mungu atakujalia utatembelea hapo siku moja. Nakuombea ufanikiwe...

Najua wewe ni mwanataaluma... karibu CPT... utafanikiwa kufanya hiyo ziara na hakika utaacha dharau zako kwa wakubwa zako.

Kwenda Fatima (siyo fatima kama ulivoandika wewe, heshima ya herufi kubwa) inawezekana ukidhamiria... sio kwa kutokwa povu.
 
Wee
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
wewe unajiitA mkristo halafu unachukia tena watu?
 
Back
Top Bottom