Soma Biblia kwa muktadha:Mathayo 20:29-34
Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata. Basi, kulikuwa na vipofu wawili wameketi kando ya njia, na waliposikia kwamba Yesu alikuwa anapitia hapo, walipaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!” Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!” Yesu akasimama, akawaita na kuwauliza, “Mnataka niwafanyie nini?” Wakamjibu, “Bwana, tunaomba macho yetu yafumbuliwe.” Basi, Yesu akawaonea huruma, akawagusa macho yao, na papo hapo wakaweza kuona, wakamfuata.
Swali, hawa vipofu hawakuwa hadharani???
Acha dhihaka Binti utakufa vibayaMaombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Watu wa Mungu wanatenda aliyosema Mungu. Mungu amesema usijioneshe barabarani kuwa unasali, wewe unampinga Mungu na kujionesha mpaka mitandaoni, halafu unadai u mtu wa Mungu?Acha dhihaka Binti utakufa vibaya
Tubu utasamehewa..acha dhihaka kwa watu wa Mungu.
Ikiwa ndio hivyo basi ninyi walokole mpo mbali sana na Mungu kwa sababu Ibada zenu ndizo zimejaa maonesho mengi na maspika ya kelele mitaani.Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Mada hii haibagui mtu wala dini yake. Inawahusu watu wote, hata walokole. Na wao wakiomba kwa kujionesha, maombi yao hayafiki kwa Mungu. PeriodIkiwa ndio hivyo basi ninyi walokole mpo mbali sana na Mungu kwa sababu Ibada zenu ndizo zimejaa maonesho mengi na maspika ya kelele mitaani.
Ndio hualisia wenu walokole lakini mnaona mkiwaponda RC mtapata mileage.Mada hii haibagui mtu wala dini yake. Hata kama ni mlokole akiomba kwa kujionesha, maombi yake hayafiki kwa Mungu
Yesu aliagiza nini kwani? Wengine hatujui!Wafanye kama Yesu alivyoagiza
Mungu anangalia dhamira ya mtu.Kujionyesha au kujificha hakuna maana yoyote kwa Mungu.Kama kusudi la ombi lako ni baya ata ungeomba wazi au kujificha hakuna maana.Ndio maana wanasema bwana utazama moyo(unaweza ficha kila mtu lakini huwezi kumficha Mungu)Mada hii haibagui mtu wala dini yake. Inawahusu watu wote, hata walokole. Na wao wakiomba kwa kujionesha, maombi yao hayafiki kwa Mungu. Period
HAKIKAMaombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Maswali madogo madogo naomba uwe unamuuliza chatGPT, anajibu kwa haraka sana; 🙂 mimi niulize maswali mazito mazito tu; au sio mkuu.Aisee. Na je vipi wale wanaoweka spika(megaphone) nje ya masinagogi yao na kuomba kwa sauti kubwa hadi mtaa wa nne wanasikia, wanajionyesha?
Hayo ni mawazo yako tu. Kwani wewe ndiye Mungu unayeyajibu, au unaongea kwa niaba yake?Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.