Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

Ulimi huo huo unalaani na huohuo unaomba baraka za Mungu? Ni vigumu sana kupata majibu hata ukiomba Novena
Yak 3:9-10
"Kwa huo twamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo twawalaani wanadamu waliofanywa kwa mfano wa Mungu. Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haifai mambo hayo kuwa hivyo.
Kama wewe hushiriki hiyo novena, shida yako ni nini? Kwamba Mungu hataisikiliza? Unakosa usingizi kwa hilo?
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Wasabato mnaomba mkiwa kwenye Mapango?
 
Nje na ulokole ulio nao ulipaswa uwe mchawi wewe bibi yaani wewe na Bi faiza foxy mnakula kichwa.

Toka enzi na enzi maombi ya namna hiyo(kitaifa/kanisa) yalikuwepo

Na hapa naweka mifano michache tu ....na kulingana na utandawazi wa sasa lazima vyombo vya habari kwa Aina zake vitumike.

1.Kutoka 14 na 15 – Waisraeli walipovushwa bahari ya Shamu, taifa zima lilimwomba na kumsifu Mungu kwa wimbo wa Musa na Miriamu (Kutoka 15:1–21).

2. 2 Mambo ya Nyakati 6–7 – Wakati Sulemani alipozindua hekalu, alisali sala ndefu ya kitaifa kwa niaba ya Israeli lote. Taifa lote lilishiriki ibada hiyo, na Mungu akajibu kwa kuteremsha moto na utukufu wake (7:1–3).

3. Ezra 9 na Nehemia 9 – Baada ya kurejea kutoka utumwani Babeli, watu wote walikusanyika, wakaungama dhambi zao kama taifa na kumwomba Mungu warekebishwe. Hii ilikuwa toba ya pamoja.

4. Yona 3 – Ingawa si taifa la Israeli, tunaona mfano wa taifa lote la Niniwe kufunga na kumwomba Mungu baada ya onyo la Yona, na Mungu akawasamehe.

5. Yoeli 2:15–17 – Nabii Yoeli aliagiza tarumbeta ipigwe ili taifa lote liitwe kwa kufunga na kuomba rehema za Mungu.

Kwa hiyo, maombi ya taifa zima yalikuwa jambo la kawaida hasa wakati wa hatari, dhambi ya kitaifa, au ibada maalum ya agano.
Huyo jamaa ni Msabato asiyejielewa
 
Sijajua kama nimekuelewa ila kama unasoma vizuri bibilia yako unajua mitume walichokuwa wanakifanya ukisoma Matendo ya mitume sura 6 za kwanza zinaonyesha mitume ambao walijitengeneza mazingira ya kusali na kuna mahali kabisa ilionyesha”a hour of prayer” (Mdo 3)…kujionyesha ni pale ambapo unataka uonekane unasali na iwe kwa majivuno na hiki ndicho Yesu alifafanua kwenye mfano wa mzuri tu kwenye Luka 18:9-14
Maombi yoyote ya umoja hua yanatangazwa nia hata familia yako mkiwa mna jambo mnakaa kwa umoja na mnasali kwa nia moja
Lakini ni Yesu huyu aliyesema mkutanapo wawili au watatu mimi nipo katikati yao
Therefore, sala ya umoja au sala binafsi hainangalii namna unajisemesha ila inaangalia the state of ur heart na ndio maana Roho Mt kazi yake mojawapo ni kutusaidia kuomba kwasababu hatujui kuomba itupasavyo.
Hujanielewa. Mada yangu inawahusu wanaoomba novena huku wakijigamba kwa kusema "Kanisa lao ndio mkombozi wa kweli wa Taifa na kwamba sala yao ni "very powerful prayer!" HAYO NI MAJIVUNO
 
Kuna vitu lazima viwekwe wazi,ili majibu yakitokea wati wajue ni Mungu atenda,Elia aliita moto kutoka Mbinguni mbele za watu....acha Mungu ajitwalie utukufu
 
Kwahiyo agizo la Yesu unalikataa?
 
Na mbinguni hamuendi hata mkonae na jmosi vipi. Acheni dhambi sio kukazia macho watu wengine
Achana na reference za Jmosi. Yesu aliishaivunja Sabato
 
wewe unaona nalikataa hapo?
Sasa kwanini unakimbilia kutoa reference ya Eliya. Hujui kwamba Yesu alikuja baada ya Eliya? Yesu angekuwa anafurahia kujivuna na kujionesha si angesema ombeni hadharani kama Eliya?
 
Wasabato mnashida gani?
Sabato iliishavunjwa
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Mtoto wa kahaba wewe ,how is that your business ? . Yaani majitu yaliyozaliwa kwenye danguro kama wewe ni laana inayotafuta haki nchi leo hii.
Rubbish
 
Nje na ulokole ulio nao ulipaswa uwe mchawi wewe bibi yaani wewe na Bi faiza foxy mnakula kichwa.

Toka enzi na enzi maombi ya namna hiyo(kitaifa/kanisa) yalikuwepo

Na hapa naweka mifano michache tu ....na kulingana na utandawazi wa sasa lazima vyombo vya habari kwa Aina zake vitumike.

1.Kutoka 14 na 15 – Waisraeli walipovushwa bahari ya Shamu, taifa zima lilimwomba na kumsifu Mungu kwa wimbo wa Musa na Miriamu (Kutoka 15:1–21).

2. 2 Mambo ya Nyakati 6–7 – Wakati Sulemani alipozindua hekalu, alisali sala ndefu ya kitaifa kwa niaba ya Israeli lote. Taifa lote lilishiriki ibada hiyo, na Mungu akajibu kwa kuteremsha moto na utukufu wake (7:1–3).

3. Ezra 9 na Nehemia 9 – Baada ya kurejea kutoka utumwani Babeli, watu wote walikusanyika, wakaungama dhambi zao kama taifa na kumwomba Mungu warekebishwe. Hii ilikuwa toba ya pamoja.

4. Yona 3 – Ingawa si taifa la Israeli, tunaona mfano wa taifa lote la Niniwe kufunga na kumwomba Mungu baada ya onyo la Yona, na Mungu akawasamehe.

5. Yoeli 2:15–17 – Nabii Yoeli aliagiza tarumbeta ipigwe ili taifa lote liitwe kwa kufunga na kuomba rehema za Mungu.

Kwa hiyo, maombi ya taifa zima yalikuwa jambo la kawaida hasa wakati wa hatari, dhambi ya kitaifa, au ibada maalum ya agano.
Wakatoliki hupenda maombi ya kujionyesha sana hasa maaskofu wao

Hivyo vifungu ukivyo nukuu ni vya agano la kale .Kuna tofauti kwenye maombi ya agano la kale ni jipya farisayo mkubwa wewe

Kanisa limeanza agano jipya .

Kwenye maombi ya agano jipya Yesu aliagiza yawe sirini sio kupiga tarumbeta mabarabarani na njia panda kuwa ooh tutakuwa na maombi ya Taifa

Huo ni ufarisayo.Mungu hasikilizi maombi ya kifarisayo kwenye agano jipya.Yakiwemo hayo ya kifarisayo ya katoliki na wapuga filimbi wa Hamelini wenzao akina Gwajima nk
 
Mtoto wa kahaba wewe ,how is that your business ? . Yaani majitu yaliyozaliwa kwenye danguro kama wewe ni laana inayotafuta haki nchi leo hii.
Rubbish
Matusi hayo halafu unatarajia sala yako ndefu itajibiwa?
Yn 9:31
Twajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Uko sahihi mia kwa mia
 
Back
Top Bottom